shida yangu ni namna ya kutengeneza registration form itakayoweza kuingiza data kwenye database.
hiyo form moja iweze kuingiza mwalimu, mwanafunzi na admin so nashindwa nawezaje kupangilia hivi na security yake ikoje?
code za php, mysqli hizo sina shida.
Sent using
Jamii Forums mobile app
<form method="post" action="myphpfile.php">
<input type="text" name="username">
<input type="text" name="position">
<input type="password" name="password">
<inlut type="submit" value="send data">
</form>
myphpfile.php
<?php
if($_SERVER['REQUEST_METHOD'] == "POST")
{
$username = $_POST['username'];
$position = $_POST['position']
$password = password_hash($_POST['password'], PASSWORD_DEFAULT);
$sql = "INSERT INTO users (username, position, password) VALUES (?, ?, ?);
//Na assume tyr umetengeneza connection kwenye server ili uaccess database
$stmt = $conn->prepare($sql);
$stmt->bind_param('sss', $username, $position, $password);
if($stmt->execute())
{
echo 'Umefanikiwa kuingiza data';
}
else
{
echo 'Imefeli, jaribu baadae';
}
}
?>