Mulofa ni mzazi au mfumo?

Mulofa ni mzazi au mfumo?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,443
Reaction score
872,046
1440511469566.jpg1440511480988.jpg
 
Lakini elewa kila hitaji lako na la jamii siasa inahusika hapo, hivyo lazima ushiriki siasa ama kwa kuchaguliwa au kuchagua kiongozi, elewa hivyo.

Yeah haimaanishi kuwa sishiriki... Lakini ushiriki wangu ni wa namna gani hapo ndio penye Shida
 
Yeah haimaanishi kuwa sishiriki... Lakini ushiriki wangu ni wa namna gani hapo ndio penye Shida

I say; lazima upige kura au ugombee uongozi na upige kura, la sivyo utabakia mlalamishi usiye jua wajibu wako au uliyeachia haki yako ipotee
 
CCM mbele kwa mbele Magambaz kindakindaki watakwambia sio tanzania ni afrika ya kusini.
 
Inauma sana aisee ila kuna watu humu hao ni wadogo zao kabisa,ila kwa kuwa wao wanalipwa buku 7 na wali maharage wanakula bure wanasahau walikotoka na kuwashangilia CCM so sad
kichomiz usijali ukombozi unakaribia.... Tutaukomboa wakati kwakuwa wakati si milele....!!!
 
Last edited by a moderator:
aisee....Kuna uzi mmoja The Boss Alisema hawa watoto wana afya..........

Kweli mkuu hawa watoto wanaafya, niliwahi kupita sehemu za dodoma vijijini hakika chozi lilinitoka mkuu. Huu ni mwaka muafaka tufanye service hii Tanzania yetu
 
Last edited by a moderator:
Kweli mkuu hawa watoto wanaafya, niliwahi kupita sehemu za dodoma vijijini hakika chozi lilinitoka mkuu. Huu ni mwaka muafaka tufanye service hii Tanzania yetu
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Back
Top Bottom