Hunishindi mimiThat's why I hate politik
That's why I hate politik
Lakini elewa kila hitaji lako na la jamii siasa inahusika hapo, hivyo lazima ushiriki siasa ama kwa kuchaguliwa au kuchagua kiongozi, elewa hivyo.
Yeah haimaanishi kuwa sishiriki... Lakini ushiriki wangu ni wa namna gani hapo ndio penye Shida
kichomiz usijali ukombozi unakaribia.... Tutaukomboa wakati kwakuwa wakati si milele....!!!Inauma sana aisee ila kuna watu humu hao ni wadogo zao kabisa,ila kwa kuwa wao wanalipwa buku 7 na wali maharage wanakula bure wanasahau walikotoka na kuwashangilia CCM so sad
aisee....Kuna uzi mmoja The Boss Alisema hawa watoto wana afya..........