Muliyo?

Muliyo?

Se ntaki

Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
38
Reaction score
6
Salamu za kwetu.mpo wanaJamii? Mi ni mtu 'mpya' kwa uwanja huu.naomba tushirikiane kwani nimeona mna vitu nzuri.nimevutwa nazo,naamini mtapata ma busara yangu pia.ASANTE Najua mpo ange nami.
 
Karibu sana mkuu ingawa kwa kawaida BINADAMU huwa MGENI na si MPYA. Teh*
Welcome JF
 
yan huyu mhaya unamuandikia turashashe...yeye atajua unataka augue kwan kuumwa/kuugua-KUSHASHA! We mhaya karibu hapa. Waija namaguru? Turihoeee!

Ego urakoze chyane we mugab'ho. oyaah naija na maaso.
 
Salamu za kwetu.mpo wanaJamii? Mi ni mtu 'mpya' kwa uwanja huu.naomba tushirikiane kwani nimeona mna vitu nzuri.nimevutwa nazo,naamini mtapata ma busara yangu pia.ASANTE Najua mpo ange nami.

Asante tena.nimeona ma welcome yenu yenye bashasha kwelikweli.mnanifurahisha nyie! mtaonaga tu ma effect zangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom