Du....!! umenikumbusha jamaa mmoja alikuwa anadaiwa, akatumiwa msg na mdeni wake ikawa hivi...
mdai: Upo wapi nije kuchukua hela yangu?
Mdaiwa: Nimepata safari ya dharura nipo kwenye basi naelekea Korogwe, nikirudi nitakuona
Mdai: Acha uongo wewe, upo kwenye daladala ya mwenge/Posta seat ya mbele... geka nipo seat ya mwisho.......
Kwa aibu jamaa hakugeuka!!.......