mulika mwiziii

obsesd

JF-Expert Member
Nov 23, 2011
1,225
525
boy:what are yuo doing
girl: notin much im at home realy tired jus goin to sleep nw honey and you sweatheart
boy: in the club standing behind you.
 
boy:what are yuo doing
girl: notin much im at home realy tired jus goin to sleep nw honey and you sweatheart
boy: in the club standing behind you.

Go back school and learn about abbreviations,your English is shit! I cant understand the post either.
 
boy:what are yuo doing
girl: notin much im at home realy tired jus goin to sleep nw honey and you sweatheart
boy: in the club standing behind you.

Du....!! umenikumbusha jamaa mmoja alikuwa anadaiwa, akatumiwa msg na mdeni wake ikawa hivi...

mdai: Upo wapi nije kuchukua hela yangu?

Mdaiwa: Nimepata safari ya dharura nipo kwenye basi naelekea Korogwe, nikirudi nitakuona

Mdai: Acha uongo wewe, upo kwenye daladala ya mwenge/Posta seat ya mbele... geka nipo seat ya mwisho.......

Kwa aibu jamaa hakugeuka!!.......
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaaa hii hua inatokea sana watu
 
Mi ilintutokea na best wangu pale chako ni chako dodoma,alikuwa na appointment na jamaa nyumbani kwake(Mdada),ila hakutaka kuonana nae ikabidi tutoke kwenda kupoteza muda,kumbe na jamaa baada ya kuona muda umeenda mdada anamwambia bd yuko ofcn akaamua kutoka na bro wake kwenda Chako ambako nasi tupo,wakakaa kwa nje hivyo wakawa wanatuona kwa mbali....kila jamaa akipiga simu mdada anakata then anamtumia msg "Bado niko ofcn Tunamalizia kufunga mahesabu,ntakupingia" Dah kumbe jamaa anatuona ila hatujagundua, hadi tunaondoka hatukujua,alipofika hm ndo kaka yake jamaa akamwambia mdada kuwa alikuwa Chako ni Chako na mkaka kavaa nguo fulani mh ilibidi achoke......
 
lkn club si pana zogo ilkuaje huyo girl aka lie km yupo home in bed anataka kulala!!!
 
Back
Top Bottom