Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,766
- 894
Hizi siasa za bongo zimejaa usanii mtupu!
kumbe ni mambo binafsi ya pinda,sasa pinda anamuwakilisha nani kati ya serikali na chama?
Kweli mkuu,sababu hata sioni tume ya uchaguzi imetoa maamuzi gani kuhusu Arusha mjini,wamebaki wanasiasa wetu uchwara kudandia mambo bila kuangalia legality ya vitendo vyao.Hizi siasa za bongo zimejaa usanii mtupu!
Mukama ana sauti kuliko Pinda
Luhanjo ana power kuliko Pinda

Yeye anaona ni wastage of time wakati wenzao wako serious kuweka records za matukio ya ukiukwaji wa misingi na taratibu za kisheria tulizojiwekea.

Anasahau kwanba revolution is the outcome of simple ignored things. Njiti moja ya kiberiti inaweza kuleta maafa ambayo kamwe hayataweza kusahaulika katika historia.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Wilson Mkama amesema hajui lolote na hatambui mazungumzo yoyote yanayoendelea kati ya Pinda na Chadema,

Akiongea na Radio Uhuru akiwa Morogoro juu ya Taarifa ya Kamati Kuu ya Chadema iliyotolewa leo Mukama amesema kwanza haoni sababu ya kuingia katika Mazungumzo kati ya Chadema na CCM kwani Meya wa Jiji la Arusha alipatikana kiharari!

Amesema ni wastage of time kwa watu wazima kupoteza muda na mgogoro usio na tija badala ya kuwaletea wananchi maendeleo! Anasema Chadema ni lazima waelewe kuwa mazungumzo wanayofanya ya Muafaka ni kati ya Pinda na Chadema kwani hakuna kikao chochote kilicho muagiza Pinda juu ya Jambo hilo!
Meya ni elected official...hana bosi,hapo ndio CDM mnapokosea.

Hilo ndio tatizo la uelewa mdogo wa baadhi ya viongozi ndani ya CCM,pengine hajui kwamba meya anafanya kazi chini ya TAMISEM ambayo bosi wao ni Pinda,hiyo ndio CCM kila mtu mkubwa kimadaraka.
Meya ni elected official...hana bosi,hapo ndio CDM mnapokosea.
Mkuu,kwenye demokrasia ya ukweli,hakuna elected official aliye juu ya elected official.Kobello nilitarajii uwe na fikra za juu kuliko hapai. Kwa mtazamo huo huo.....
President ni elected offcial...hana boss
VP ni elected official....hana boss
MP ni elected official...hana boss
ward Councilor ni elected official...hana boss
Kwa hiyo nchi hii haina Boss??
Haya ni matokeo ya mahaba ya kichama yanapochukua nafasi ya fikra huru.
Mkuu,kwenye demokrasia ya ukweli,hakuna elected official aliye juu ya elected official.
Kwa siasa za kitemi hasa Afrika,hii kitu ndio ipo.Ni mahakama pekee itakayobainisha uhalali wa meya Lyimo,hata rais wako jeyk hawezi kumtoa umeya Lyimo au hata kwa mfano Mallah angekuwa meya ni mahakama ndiyo inayoweza kubatili uhalali wa meya.
Sasa hawa mbuzi wanakutana ili iwe nini???
Hapo ndio mnapochanganya mambo.Kisheria waziri mkuu(kupitia ofisi ya waziri wa nchi) ndiye msimamizi mkuu wa serikali za mitaa na Ofisi yake ina mamlaka ya kuanzisha na kuvunja serikali ya mtaa,kuongeza/kupunguza mipaka au eneo la serkali ya mtaa.Pia huajiri wafanyakazi mbalimbali wa halmashauri(non-elected).Tusichoke na mtaalam Nsiande wameiweka vizuri mapema sana.
Kwa sheria za nchi hii waziri mkuu ndiye kiongozi wa serikali za mitaa, waziri mkuu ana mamlaka ya kuvunja halimashauri ya mji/jiji.
Kama umekuwepo kwenye siasa za Tanzania kwa muda utakumbuka kwamba Sumaye alivunja halimashauri ya jiji la Dar na akamweka Keenja.
Anayesimamia uchaguzi wa Meya sio NEC ni mkurugenzi wa mji/jiji anayereport ofisi ya waziri mkuu. Kama Mbowe anafanya mazungumzo na Pinda ni sahihi zaidi kuliko mazungumzo na CCM coz nje ya mahakama ni waziri mkuu pekee mwenye uwezo kisheria kuingilia maswala ya halimashauri.
Hakuna demokrasia ya kweli Kobello, hata home kwako/kwenu hapawezi kuwa na demokrasia ya kweli!
Mukama ana sauti kuliko Pinda
Luhanjo ana power kuliko Pinda