Mukama asema hatambui Mazungumzo ya Muafaka Arusha!

Mzee wa Posho

Senior Member
Jul 14, 2011
160
13
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Wilson Mkama amesema hajui lolote na hatambui mazungumzo yoyote yanayoendelea kati ya Pinda na Chadema,

Akiongea na Radio Uhuru akiwa Morogoro juu ya Taarifa ya Kamati Kuu ya Chadema iliyotolewa leo Mukama amesema kwanza haoni sababu ya kuingia katika Mazungumzo kati ya Chadema na CCM kwani Meya wa Jiji la Arusha alipatikana kiharari!

Amesema ni wastage of time kwa watu wazima kupoteza muda na mgogoro usio na tija badala ya kuwaletea wananchi maendeleo! Anasema Chadema ni lazima waelewe kuwa mazungumzo wanayofanya ya Muafaka ni kati ya Pinda na Chadema kwani hakuna kikao chochote kilicho muagiza Pinda juu ya Jambo hilo!
 
Yeye anaona ni wastage of time wakati wenzao wako serious kuweka records za matukio ya ukiukwaji wa misingi na taratibu za kisheria tulizojiwekea.
Anasahau kwanba revolution is the outcome of simple ignored things. Njiti moja ya kiberiti inaweza kuleta maafa ambayo kamwe hayataweza kusahaulika katika historia.
 
Ama kweli sikio la kufa. Yaani waziri mkuu anafanya kazi kwa maelekezo ya katibu mkuu wa chama!
 
Safi sanaaaaa Mkama! Pinda anawafanyia unafiki Chadema kumbe hajatumwa na mtu yeyote ni kimbelembele chake tu! Imekula kwenu Chadema! Meya ni Ndugu Lyimo hadi 2015!
 
Mwisho wa madiwani wasaliti,sijuhi walitumwa na nani na watamlilia nani
 
Kumbe ni mambo binafsi ya pinda,sasa pinda anamuwakilisha nani kati ya serikali na chama?
 
tehetehe Pinda masikini hana NGUVU, ndio maana hana maamuzi yeyyote yale khaaaaa
 
safi sana mukama chama ndicho chenye kauli ya mwisho, yaani wawapeleke watu barabarani wafe halafu watake muafaka kweli cdm hazimo kichwani.
 
Maskini CCM.wamechanganyana mpaka hawaelewani wenyewe.
CCM bye byeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Safi sana,Pinda akitaka ahamie CDM,hatutaki mazungumzo ya sebuleni kwake yatuamulie mambo ya chama chetu.Koramu ilifikiwa,watu wakafanya uchaguzi.Hata unaibu meya awe CCM,tuna viti vingi Arusha mjini zaidi ya chama chochote.
 
yeye anaona ni wastage of time wakati wenzao wako serious kuweka records za matukio ya ukiukwaji wa misingi na taratibu za kisheria tulizojiwekea.
Anasahau kwanba revolution is the outcome of simple ignored things. Njiti moja ya kiberiti inaweza kuleta maafa ambayo kamwe hayataweza kusahaulika ka
tika historia.

I salute u mkuu u are the real great thinker
 
Pinda huyu aliyesema Rais bado hajatua South Africa amuhabarishe suala la Jairo na hatimaye suala hili kuhamishiwa kwa Luhanjo.Mbowe CCM inasema hakuna mtu maarufu kuliko chama hivyo Kikao cha Pinda na Mbowe kama chama hakikitambui basi itakuwa kama ilivyotokea kwa Madiwani Arusha.
 
Back
Top Bottom