Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akisaini kitabu cha wageni Ofisini kwa Askofu Mkuu wa Kanisa katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Dar es Salaam leo.
si walisema maaskofu wavue majoho ...... ?
Angekuwa katibu mkuu wa cdm ndiye kakutana na pengo, mmmmh udini ungeingizwa kati lakini sasa ni katibu mkuu wa CCM wana Jf wenye kupenda kupanda mbegu za udini hawatahoji kilichozungumzwa.
Mbu sugu:vichwa vyao vigumu sana watahoji tu wee subiri.Angekuwa katibu mkuu wa cdm ndiye kakutana na pengo, mmmmh udini ungeingizwa kati lakini sasa ni katibu mkuu wa CCM wana Jf wenye kupenda kupanda mbegu za udini hawatahoji kilichozungumzwa.