Ccm wanapesa nashauri huyu mzee wamnunulie kigari kama kile pope john paul 2 alichokuwa anatumia kwenye ziara zake ambacho kimezingirwa na kioo kila kona, kitamwezesha kupita maeneo korofi kama mara,mza,ar na moshi, vinginevyo haya maeneo atayakwepa, atafutiwe hicho kigari fasta aokoe jahazi