Muite girlfriend wako majina romantic

Sikumbuki kama ashawahi kuniita baby, ananiitaga mamsap nami namwita chalii angu.
Yuko romantic kwa vitendo sio majina, jitu linaweza kukuita majina yote mazuri ila vitendo zero.
 
Okey smart ass.. Hebu niambie kwa Kiswahili smart ass ndiyo kitu gani

Hiyo ni kauli tu kama zilivyo zingine

Ni kama mtu aseme my pumpkin....logically kiswahili cha pumpkin ni boga lakini anayesema my pumpkin anakuwa na maana nyingine ambayo sio boga

So mie kumuita my smart ass sio kwamba namaanisha kiswahili chake....yuko veeeery smart kwa almost kila jambo ndio jina lilikotokea
 
Joanah unatu nyanyasa hatujui maana ya smart ass kingereza kigumu
 
Okey nimekusoma kwa maelezo haya.. Itakua una bonge la ass.. Sasa na yeye ana ass kubwa au anakuita wewe tu smart ass
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…