Muite girlfriend wako majina romantic

Ananiitaga beautiful namuita handsome.
Ingawa naenjoy zaidi akiwa ananiambia ananipenda ile " nakupenda Yna2 wangu"..[emoji23][emoji12]
Toka mmefall In love mpaka leo still yna2...mfundishe majina mengine kama honey,sweety,
 
Umuite baby wakati unamlisha ugali dagaa wiki mbili atakuelewa kweli,si utazidi kumpandisha hasira matokeo yake ukose kila kitu...
 
Swaga hizo zilipendwa mbona hamsikii, nyakati hizi bila pesa unajidanganya tu unazitafuta presha zinazoweza kuepukika
 
Usitutishe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…