Muite girlfriend wako majina romantic

[emoji23][emoji23]kwa hiyo wabongo tunaosema pesa ndo penzi tunakosea
Yap tunakosea penzi bila kusimamia ukucha kazi bure[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
The Romantic ladies [emoji1323]
Shout out to you

Let the TH Survive Until The Valentine Day[emoji23][emoji23]
 
Nyie mbuz mnaharibu thread taftaneni pm
Kwani tumeharibu thread yako...[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]...
Kwani tumetoka nje ya maudhui ya thread[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Wewe ndiyo unaharibu thread kwa sababu unaaza kutukana watu ambao hata huwajui.
 
The Thread is Interesting
No pb
I'm the Thread Starter Speaking[emoji1373]
 
Sijawah kumsikia akiniita kwa jina langu zaid ya "Mume wangu" na mm kumuita "Mke wangu" and we are happy
 
Sasa mkuu mie na mpenzi wangu jina lake halisi ni baby nimwite tena baby ya romantic? Si zitakua 2 sasa ama nimwite mamyy?
 
😀 nimecheka alfajiri yote hii... Ni wivu tu unamsumbua


Happy new month to you and your brother Boeing 747
Hahaaa ameshangaza sana

Ooh thanks, happy new month to you too darling😘 Ukawe mwezi wenye baraka kwako
 
[emoji3] nimecheka alfajiri yote hii... Ni wivu tu unamsumbua


Happy new month to you and your brother Boeing 747
Ooh love, thank you very much for your wishes...[emoji7]
Happy new month too darling..

Ile chai ya saa nne kazini, please take care kikombe kisikuunguze hizo lips zetu honey..[emoji8][emoji8][emoji119][emoji119][emoji119][emoji8]
 
Ooh love, thank you very much for your wishes...[emoji7]
Happy new month too darling..

Ile chai ya saa nne kazini, please take care kikombe kisikuunguze hizo lips zetu honey..[emoji8][emoji8][emoji119][emoji119][emoji119][emoji8]
Thank you dear. Asante kwa kujali pia.

Nice noon!
 
Thank you dear. Asante kwa kujali pia.

Nice noon!
....nashukuru sana..
Nawe pia mchana mwema honey,
Make sure you take smooth breathing[emoji36] honey, usije ukapaliwa na oxygen darling..[emoji119][emoji119][emoji119]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…