Muite girlfriend wako majina romantic

Muite girlfriend wako majina romantic

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,855
Mahusiano wakati mwingine huwa yananogeshwa na vitu vidogo jamani msi complicate sana. Kwa mfano una girlfriend alafu eti hata hujawahi kumuita "baby". Wewe kila siku unamwita kwa jina lake mara Aisha, Zuhura, Catherine, Khdija.

Utafiti unaonesha kumuita mpenzi wako "baby"ni njia mojawapo ya kumfanya apunguze stress (hasa kwa wanawake). Halafu eti hata wakati mwingine MTU akiwa na washkaji zake anavyowasimulia kuhusu mpenziwe anatumia neno "demu"

Hebu mjifunze kuwa romantic jamani
 
Napenda sana kusikia akiniita kwa jina langu. Sasa hivi ni mwendo wa mama nanihii tu....sipendi kwa kweli. God knows if he even still remembers my name.

Sent using Jamii Forums mobile app

It’s more than romantic napenda sana kutumia jina la mpenz wangu na naunjoy zaid nayeye akifanya hvyo kwa mfano Queen mpenzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom