huyu mama kayatoa maduku yake hadharani kiaina, kuna wengi tu wanayatoa maduku duku yao kwenye mitandao anonymously.
ambao wengi wao hawakamatwi. nadhani "immigration status" itawafuata weusi katika nchi za watu, bila kujali wamefikaje huko na wapo kwa muda gani, mbaya zaidi mtu unaweza kuwa treated kama illegal immigrant wakati upo kisheria, kazi unafanya kwa jasho na kodi kodi unalipa. pengine kwa sababu mtu tu ana mihasira yake na hali ya uchumi
bora kufanya kazi nje na kujenga nyumbani kwa bidii, kama haiwezekani kupata hela ya kusevu kujiendeleza home bora kurudi walahi, nyumbani ni nyumbani