Muigizaji wa Filamu ya Star Wars, 'Princess Leia' afariki dunia

Alipata heart attack ndani ya ndege akisafiri kutoka London kwenda Los Angeles. Pamoja na kuwahi hospitali lakini hawakufanikiwa kuokoa maisha yake. RIP and thanks for the memories.



Kwa wale wapenzi wa Star Wars tunahuzunika kwa kifo Cha Princess Leia (jina lake kamili Carrie Fisher).

Amefariki akiwa na umri wa miaka 60.

May the force be with you Princess Leia R.I.P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…