Samahani niko nje ya mada, nimejaribu kuisachi hiyo simu ili nione huyo anayesifia vizuri je yeye anaringania,au ............Kama na sura na umbo lako likawa linalinga na thamani ya hiyo simu basi unaweza ukabahatika offer ya lunch na Mr
Samsun. Nimeona hiyo simu sio ya kitoto na kama hujaongwa basi unastahili vizuri. Basi endelea kusifia.sijui yako ni rangi gani ......??