Muhubiri mwislamu afungwa maisha USA

Muhubiri mwislamu afungwa maisha USA

Status
Not open for further replies.

Kilaza

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
3,324
Reaction score
1,379
Mhubiri wa kiislamu Abu Hamza amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani kwa makosa ya ugaidi katika mahakama moja mjini New York.

Mhubiri huyo alifukuzwa nchini Uingereza mwaka 2012 kufuatia kesi ya muda mrefu na alipatikana na hatia miezi minne iliyopita.

Alipatikana na hatia katika mashtaka kadhaa ikiwemo njama ya kuwateka nyara watu kutoka nchi za magharibi ikiwemo Yemen mwaka 1998 na majaribio ya kuanzisha kituo cha mafunzo ya ugaidi kwenye jimbo la Oregon nchini Marekani.

Jaji alisema kuwa Abu Hamza alikuwa amewachochea watu wengine kuwaua walewasio waislamu kama jukumu la kidini na kusema kuwa alikuwa hatari kwa jamii.

Alifahamika kwa kutoa hotuba kali kwenye msikiti mmoja mjini London.

......
 
Hivi hawa viongozi wa dini wanatumia akili za wapi???!!! Mtu ushaiona njia ya ufalme wa mbingu kama unavyowasimulia waumini, inakuwaje badala ya kifuata wewe unaanza kung'ang'ana na dunia hii?????

Kwani ni lazima kwenda peponi????????????
 
Mhubiri wa kiislamu Abu Hamza
amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani
kwa makosa ya ugaidi katika mahakama
moja mjini New York.

Mhubiri huyo alifukuzwa nchini Uingereza
mwaka 2012 kufuatia kesi ya muda mrefu
na alipatikana na hatia miezi minne
iliyopita.

Alipatikana na hatia katika mashtaka
kadhaa ikiwemo njama ya kuwateka nyara
watu kutoka nchi za magharibi ikiwemo
Yemen mwaka 1998 na majaribio ya
kuanzisha kituo cha mafunzo ya ugaidi
kwenye jimbo la Oregon nchini Marekani.

Jaji alisema kuwa Abu Hamza alikuwa
amewachochea watu wengine kuwaua wale
wasio waislamu kama jukumu la kidini na
kusema kuwa alikuwa hatari kwa jamii.
Alifahamika kwa kutoa hotuba kali kwenye
msikiti mmoja mjini London.

......

Sishangai hayo mashtaka.
 
UGAIDI SIKU HIZI MANAKE UISLAMU NA GAIDI NI MUISLAMU. Akifanya unyama mwingine ni uhalifu.
 
UGAIDI SIKU HIZI MANAKE UISLAMU NA GAIDI NI MUISLAMU. Akifanya unyama mwingine ni uhalifu.

Tatizo ma Gaidi wanajificha kwenye Kimvuli cha Uislam.
Na waislam wajawahi kuwakana Ma Gaidi,reffer jinsi walivyokuwa wana m Support Osama.
Jibu la comment yako ni YES
 
huyo ni mlokole wa kiislam 100%, akina "mwakasege" wengine ni Osama, Ramadhan Ighondu, Jakaya Kikwete, marehemu Mwamedi, etc
 
Hivi hawa viongozi wa dini wanatumia akili za wapi???!!! Mtu ushaiona njia ya ufalme wa mbingu kama unavyowasimulia waumini, inakuwaje badala ya kifuata wewe unaanza kung'ang'ana na dunia hii?????

Kwani ni lazima kwenda peponi????????????

kwanza uliona wapi kitu kizuri ukamlazimisha mtu kukipata? Na pia tukienda mbinguni wengi, patatosha kweli!
 
Tatizo ma Gaidi wanajificha kwenye Kimvuli cha Uislam.
Na waislam wajawahi kuwakana Ma Gaidi,reffer jinsi walivyokuwa wana m Support Osama.
Jibu la comment yako ni YES

Sio kweli kwamba eti hawakemewi wanaofanya vitendo vya Kigaidi huo ni uongo bali pia kuungana kwa watu wa dini nyingine kuungana na kuwashambulia waislamu huwafanya waislamu kuungana na kuunga mkono matendo hayo yasio ya kiislamu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom