Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 3,492
- 5,935
Leo nawaona matipo mmekuja fasta😀😆😆😃😃😄pole pole hana hoja, anaropoka ropoka tu
Hizi point 2 ni NONDO haswa tunawataka kujua hao Wazee wanaokataa kwenye Colido ila wakiingia kwenye Vikao wanaogopa kufa ni akina nani?5. SERIKALI ya Samia kumejaa wahuni wanaomzunguka Ndo sababu ya kwanza kujiuzulu ili awe huru kusema
6. Wazee kwenye colido wanamkataa Samia Ila kwenye vikao wanakaa kimya
Hawezi akasema si alikuwepo kwenye system, Ya Ben saa 8 si tulishaambiwa ni MagufulAtuambie pia nani alimpiga lisu risasi na nani alimtekaa Ben sa8 ,ndio hayo menginee yafate tumueleweeee 🤔🤔
Unachekeelea🤣🤣🤣🤣