Muhtasari wa Kikao cha MM na viongozi wa ACT Kigoma ujiji

Status
Not open for further replies.
nailililia nchi yangu.nachanganyikiwa zaidi na hizi div.5 kwa maana hapa tulipo maccm wanafaidika na kura za wajinga bila div.5 je, baada ya ya hii div.5 na hii act.

Wilaya ya bukombe kuna sekondari moja mtoto amepata div. 2 ameongozana na baba yake mpaka kwa mkuu wa shule kukataa matokeo yake na kusema labda yamekosewa kwa sababu haelewi hata huko adv atafanya nini.....tusubiri tu ni suala la muda tu.
 
MM nia na makusudi yake yalidhibitiwa mapema. Hana madhara tena. Kitakachosumbua ni mahakama kujiingiza ktk siasa. Nalo kwa kuwa tumeisha lijua halitupi shida.

Kazi moja tu imebakia; kuimalisha redbrigade kuhakikisha viongozi na wanachama wa cdm tunabakia salama ktk mikutano, vikao na chaguzi.
 
Taarifa niliyonayo mahakama itaamuru Baraza Kuu Chadema liitishwe na Hawa wachumia tumbo wamepangwa kufanya ghasia kubwa.Wameelekezwa kuvuta bangi kabla ya kuingia mkutanoni.

Nawahakikishia tutawadhibiti vilivyo hawa wendawazimu.Tuna kikosi Imara cha Red Brigade na athubutu mtu kufanya walichopanga watatamani ardhi ipasuke wajifiche.

Waambie hawa wachumia tumbo watumike lakini wajue kuwa watajikuta wanajigonga kwenye kichwa cha mtu na hakutakuwa na wakulaumiwa zaidi ya matumbo yao na uroho wa ZZK.

Nadhani ZZK na wafuasi wake tuwape tu muda hata ruzuku anazopata ccm zitakoma baada ya muda mfupi sana maana hata kaumaarufu ka Zito ndo kanafikia ukingoni
 
ACT imesajiliwa lini? Hivi huu mchezo wa tiss na ccm yake wa kuzusha vyama karibia na uchaguzi mkuu utaisha lini?

Tulisha wajua, tafuta mbinu nyingine kama hamjaishiwa. Hii ni tanzania ya Dr. Slaa, haidanganyiki. Kila wizi, ujanja....utaanikwa kweupe...mtajiona uchi....
 
Muhtasari wa Kikao kilichokaa juzi kigoma ujiji kilichoongozwa na MM kiliamua kama ifuatavyo; 1. MM aliwaambia wajumbe kuwa wale viongozi ambao hawana maslahi kwa umma (viongozi wa chama) watangulie ACT 2. Wale viongozi ambao wana maslahi ya posho (madiwani, wabunge) wabaki kwanza mpaka hapo baadaye. 3. Wajumbe wa baraza kuu wanaomuunga mkono MM wameshapangwa kuvuruga mkutano utakaoitishwa, watapinga kila hoja, ngumi zitapigwa ili mkutano uvurugike kwa vurugu ya hali ya juu, ndiyo siku hiyo viongozi wenye maslahi watahamia ACT baada ya kuwahadaa watanzania
Hata CCJ ilipata promo kibao lakini kikayeyuka kabla hata ya kupata usajili wa kudumu. Sasa subirini na huyo msaliti wenu. Kama kimeanzishwa na msaliti kitaendeshwa kisaliti saliti.
 
Chadema mpango wa mungu mlete hata lichama la baba yako kuivuruga cdm hajazaliwa hata kidogo kumbe cdm ni chama tawala heeeee kumbe watu hawadili na cc. Ni cdm kweli mti wenye matunda hupigwa mawe
 
Mheshimiwa ZZK nadhani busara ni kutulia na kujipanga na ikiwezekana waombe radhi wazee wa CDM. Umemsikia Rostam akiitukana CCM, umemsikia EL akitukana chama chochote cha Upinzani Busara ya EL ndiyo inawaogopesha CCM na wala si pesa maana wanajua hata tulioko upande wa pili tunamkubali tena kwa sana.
 
badala ya kuwahadaa watanzania wamejihadaa wenyewe, pesa itawapiganisha wao kwa wao muda sio mrefu, MM kishachanganyikiwa maana akaunti kutoka SSM kwenda kwake haisomi siku hizi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom