Muhtasari wa Kikao cha MM na viongozi wa ACT Kigoma ujiji

Status
Not open for further replies.
Kwa hiyo CCM imedeclare Arusha ni territory ya Chadema wenyewe wamebakiwa na Msoga na Bagamoyo hiyo safi tumechoka kuongozwa na wakwere wazungu wa unga na majangiri wa kung,oa tembo wetu

CCM inatawala nchi nzima isipokuwa pale ARUSHA ambapo wameamua kumpa tuzo LEMA baada ya kuacha kazi yake ya ujambazi. Wanahofia kuwa wasipomuunga mkono akirudi kwenye kazi yake hali itakuwa mbaya sana.
 
Haya matukio na mipngo mkakati wa sijui act/ ccm b visiishie kuripotiwa humu jf vitangazwe mapema kadri vinapobainika ili wakija kufanya waumbuke kwakuwa umma umeshajulishwa. Surprise zisiruhusiwe kwa hawa maadui. mmeona ya madiwani wa shinyanga wana jf tulishajulishwa hata ilipotoka kwenye tv, magazeti na radio haikuwa na impact sana, hivyo kila mkakati wao utangazwe mapema ili kuu dilute
 
Yaani wewe huamini katika Mungu au ndio ujuaji

Now I wouldn't want to derail the thread.

Paraphrasing the words of Kenny Gamble through Patti LaBelle, if you don't know my stand by now, you will never know it.

You sound like a Johhny Come Lately to the god bashing party which is fastly becoming old news.

Let's not derail the thread.

And like Preemo said.

On that note, let's get back to the program.
 
Muhtasari wa Kikao
kilichokaa juzi kigoma ujiji kilichoongozwa na MM kiliamua kama
ifuatavyo;
1. MM aliwaambia wajumbe kuwa wale viongozi ambao hawana maslahi kwa
umma (viongozi wa chama) watangulie ACT
2. Wale viongozi ambao wana maslahi ya posho (madiwani, wabunge) wabaki
kwanza mpaka hapo baadaye.
3. Wajumbe wa baraza kuu wanaomuunga mkono MM wameshapangwa kuvuruga
mkutano utakaoitishwa, watapinga kila hoja, ngumi zitapigwa ili mkutano
uvurugike kwa vurugu ya hali ya juu, ndiyo siku hiyo viongozi wenye
maslahi watahamia ACT baada ya kuwahadaa watanzania

nina wasiwasi na usahihi wa hi thread. mbona MM yuko dodoma?
 
abakorakamoi we ni nani uwaamulie watu mambo yao umetumwa na MM???
Huyo msaliti kazi yake kwisha, kama mikoani ana suport si angoje wamtetee!!
 
Last edited by a moderator:
Sijuini cheke au nitabasam kweli cdm kichekesho wana jf nijuwavyo mm nikuwa mwenzio akipenda sana ajuwe tarifa zako ujuwe kunakitu umembana kwani huwezi kufatilia aduiambae hana madhara sasa cdm kaziyao imekuwa sasa ku post kile kinachofanyika ndani ya act kwa ss wana act tunasema tunashukuru kwa kutuwezesha kutowa tarifa zetu kwakuwa act ni mtandao wenye watu makini tena sana na bado viongozi wa kitaifa hawajanza kazi je wakianza kaz rasmi hawa wanaotowa tarifa wataweza sunami inayo watokea kazi ipo
 
Now I wouldn't want to derail the thread.

Paraphrasing the words of Kenny Gamble through Patti LaBelle, if you don't know my stand by now, you will never know it.

You sound like a Johhny Come Lately to the god bashing party which is fastly becoming old news.

Let's not derail the thread.

And like Preemo said.

On that note, let's get back to the program.

You mean CCM?
 
Hiki chama kitafia Mwandiga kama CCJ ilivyofia Kibaha, unakumbuka CCJ ilivyopambwa na magazeti?

hiki chama ni mbadala wa chadema, kinakuja kwa kasi sana, chadema ni wachumia tumbo tu na genge la wahuni, ruzuku yote ya chadema inaishia kutumbuliwa makao makuu wakati viongozi wa mikoani na wilayani hawana kitu wanapiga miayo tu, shame on you chadema
 
Mungu hamtupi mja wake kwan uhaini wao tumeshaujua na hawatafanikiwa kamwe. Cdm, mungu pamoja nasi
 
Kimepata usajili wa mda tunategemeya baada ya bunge la katiba kitapata wa kidumu viva act viva
 
uongo haitanusuru chadema Zzk ana siku hayupo Kigoma,ACT wanaeneza sera ndio maana wanachanja mbuga hiki chama kinaenea kwa kasi sana na hakipo kwasababu ya chadema chama hiki dhumuni lake ni kuionesha demokrasia ya kweli kwa watanzania maana demokrasia ndio msingi wa maendeleo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom