Muhongo: Mimi Bado Waziri!

Ukawa wakiongozwa na Mbowe wamehongwa na Serikali ndio maana wamekubali kufanya maridhiano ya KIJUHA.
 
Nakubaliana na wewe.
Tena endapo Pinda ataamua kujiuzulu baada ya JK kukataa kumwajibisha Muhongo itakuwa ni mtego kwa JK kuunda hilo baraza jipya baada ya Pinda kama bado atamteua Muongo au la!
 
Umeandika vema mkuu!
 
Huyu baba ameiabisha academia family yote!

Hii arrogance si bure naombeni kujua kama ni direct from school to university ama alipitia complete metamorphosis.....Somewhere kuna tatizo katika background yake!
 
Anachosema Muhongo ni sahihi kabisa.
Yeye bado ni waziri mpaka JK atakapoamua kumvua uwaziri na pia kuna uwezekano asimvue akaendelea kuwa waziri.

Do you want to tell Tanzanians that Mr President is so cheap to that extend? Kaa ujue kuwa survival ya CCM imewekwa rehani mikononi mwa Mh JK
 
Pamoja na hayo bado kama le profeser angeweza kumdhibiti technically bila kitumia maguvu na dharau... Watu tunashindwa kum support kwasababu ya arrogance yake!
 
wabongo tulivyo, jamaa akirudi wizarani utaona wakina baba na wakina mama wanasukuma gari lake kuanzia kimara mpaka wizarani kwa maandamano yasiyo rasmi.

Hii mkuu lazma itegemee kabisa atatumia mgao wake kuwapa wafanya usafi wa wizara jumatatu akienda wasukume gar na machozi ya damu muda huo camera znamulika ili mukulu asamehe.
 
Do you want to tell Tanzanians that Mr President is so cheap to that extend? Kaa ujue kuwa survival ya CCM imewekwa rehani mikononi mwa Mh JK
Jiandae kisaikolojia kuhusu action itakayochukuliwa na Rais.
Huenda akamtimua Muhongo lakini akamwacha Werema and vice versa.
Na pia huenda ikachukua muda mrefu kidogo tofauti na unyeti wake.
 
Statement ya Waziri Prof Muhongo ndo uhalisia.
 
Ukifikia level hiyo unategemewa umepita challenge nyingi sana za ki academics, kiuongozi na kimataifa ndiyo maana nchi za wenzetu hata UN na organ zake wapo wengi japo hawatumii hicho cheo.....

Tatizo lipo kwetu Africa kwakua tuna inferiority complex mara nyingi mchujo wa kufikia hiyo level mara zingine hazipo objective sana.... Ndiyo maana baadhi ya hao wa huku kwetu ni vituko!
 
Jiandae kisaikolojia kuhusu action itakayochukuliwa na Rais.
Huenda akamtimua Muhongo lakini akamwacha Werema and vice versa.
Na pia huenda ikachukua muda mrefu kidogo tofauti na unyeti wake.
Rais hawezi kumtimua mtu ambaye alimwachusha shughuli zake na kumuingiza kwenye mkenge wa kisiasa. Amini usiamini. Muhongo ataendelea kuchapa kazi kwa maendeleo ya Watanzania
 
Hii ni aibu sana kwa wale waliokuwa wanaiombea mabaya serikali ya CCM.
 
ngiOkumtoaymuongo6naniNhuyoinimfahamuiaKitakachoemtoawmhongonga sana,taratibua mmoja anajuakutoa ndo imetumiwawalaaondyeyeawa hata alafu mingebidiiaeajibikehuohuo mnfedhehaaje wtaifaaukizngatiaoka wapi na wakati pesa ndo inatumika? na ukishatumia pesa kutengeneza mfumo wa haki katika utawala? anyway,leo mnamshabikia Mengi kamtoa Mhongo lakini siku si nyingi mtayaona mda ukifika ..ni fitina,chuki,unafiki,ghiriba dhidi ya watu[/QUOTE]

Hv anaeshabikia mengi kumtoa muongo nani huyo nimfahamu? Kitakacho mtoa mhongo pale ni taratibu zilizotumika kutoa ile hela, na wala co yeye tu hata w/mkuu ingebidi aeajibike kwan ni fedheha kwa taifa ukizngatia BOT ni taacc kubwa. Hakuna unafiki hapo we ulickia wap hela nyingi vle wanachukua kwa cash
 
Uongozi na maadili bado ni kitu kingine kabisa.

Uprofesa ni ualimu na kufanya tafiti nyingi zinazokubalika katika somo lako au around somo lako na kusimamia wanafunzi wake ki-academic.
Halafu baada ya muda maprofesa wenzio wanakaa kikao maalumu kwa ajili ya mtu kupewa uprofesa usu au uprofesa kamili.

Uadilifuuuuuuuuu.............siyo uprofesa.
 
Jiandae kisaikolojia kuhusu action itakayochukuliwa na Rais.
Huenda akamtimua Muhongo lakini akamwacha Werema and vice versa.
Na pia huenda ikachukua muda mrefu kidogo tofauti na unyeti wake.

Miye nilishajiandaa tangu walipo tafuta engineer wao qa maneno wakachomeka neno 'wanashauri' badala ya waiagiza serikali!
 
Rais hawezi kumtimua mtu ambaye alimwachusha shughuli zake na kumuingiza kwenye mkenge wa kisiasa. Amini usiamini. Muhongo ataendelea kuchapa kazi kwa maendeleo ya Watanzania

Sawa kabisa Mkuu Lizaboni , serikali haiendeshwi kwa majungu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…