Muhongo kamzidi 'ujanja' Magufuli?


Wa kanda huyo mwenzetu hawezi kuondolewa........jibu liko wazi hakuna kuuliza
 
Hilo la bonus kwa kweli ni kituko kama si kichekesho...for what?
Nasikia walikuwa wana set lower targets na ukisi meet unapewa bonus...yani zile OPRAS zile ndio kigezo cha bonus...haya mashirika ya umma haya...ni shida...toka enzi za mwalimu....wanajiamulia amulia tu mambo...bonus gani kwa shirika ambalo halijawai kuendeshwa kwa faida?
 

Ivi unajifanya ujui maamuzi ya mikataba ya tanesko yanatoka ikulu toka miaka ya tisini. Unajifanya ujui kina na bodi yote ya tanesco awana ubavu wa kupinga maelekezo kutoka ikulu. Unafiki ni mbaya sana
 
wewe utakuwa unafanyakazi IPP
 
mleta mada hayo yote uliyoleta ni porojo tupu sisi tunachotaka umeme usipande tu!! awe amewachota wenzie au kawageuka wenzie watujua wao hukohuko na siasa zao sisi kwetu umeme ushuke tu...
 
Tatizo la TANESCO halipo kwako wao TANESCO......wapiga dili na wezi wa nchii ndio wanalifilisi hili shirika. Mungu atusaidie tu, hakuna rais anaeingia madarakani bila kugusa TANESCO kwa kheri au shari.
 
Ukiwa Profesa kila unalolifanya, kusema au kufikiri ni sawa!!! Hakuna mtu wa kuhoji
 

Tanesco ni mkusanyiko wa makampuni matatu tofauti
Hivyo huwezi kuangalia perfomance kwa faida na hasara tu
hata kueneza umeme nayo ni perfomance
kutoka 17 percent ya watanzania hadi 40 percent kwa kushirikiana na REA nayo ni mafanikio
Kama wahasibu wanapewa bonus based na kukusanya madeni huwezi sema simply hawastahili
kisa eti shirika halipati faida....
kama Meneja wa Tabora amepewa bonus kwa kuhakikisha Tabora yote hakuna wizi wa umeme
huwezi sema hastahili bonus eti sababu shirika halipati faida

Tanesco haipati faida sababu ya mikataba ya IPTL na Symbion ambayo imesainiwa na kulindwa
na serikali kuu...na mawaziri...sio Management ya Tanesco iliyosuggest wala kusaini mikataba hiyo
 
Ivi unajifanya ujui maamuzi ya mikataba ya tanesko yanatoka ikulu toka miaka ya tisini. Unajifanya ujui kina na bodi yote ya tanesco awana ubavu wa kupinga maelekezo kutoka ikulu. Unafiki ni mbaya sana


Wanajitoa ufahamu
 
Mleta mada anamatatizo binafsi na waziri.

Hivi shirika lisipo perform anafukizwa waziri?

Ni mkataba gani wa tanesco muhongo kaidhinisha au kasaini?

Nijuavyo muhongo anahangaika kutafuta pesa za REA na za vinu vya uzalishaji umeme katika mazingira magumu sana.

Kupitia muhongo bomba la gesi. Kinyerezi 1 na 2 vimepatikana.

Hata alipoenda likizo ya ESCROW Simbachawene alishindwa kumalizia miradi ya REA hadi nguzo zikapikiwa makande.

Mnataka mtu wa aina gani?
Wanasema asiejua maana haambiwi maana
 

Ujuavyo wewe?
kumbe na wewe mtupu kabisa?

Muhongo anatafuta hela za REA?
hujui pesa za REA zinapotoka?
wala hujui huyo ,Muhongo aliikuta REA tayari imeanza kazi?

Wewe ndo mbumbu mwingine unakuja kujaza sever humu
 
Ivi unajifanya ujui maamuzi ya mikataba ya tanesko yanatoka ikulu toka miaka ya tisini. Unajifanya ujui kina na bodi yote ya tanesco awana ubavu wa kupinga maelekezo kutoka ikulu. Unafiki ni mbaya sana
Je muhongo alihusika au anahusika?

Na huyo bosi wa tanesco asipokubaliana na maamuzi ya ikulu si angejiuzuru?

Ikulu ikiamua kwa niaba yako na wewe ikakubali umeamua wewe na itakula kwako. Unatakiwa UKATAE.
 
Ujuavyo wewe?
kumbe na wewe mtupu kabisa?

Muhongo anatafuta hela za REA?
hujui pesa za REA zinapotoka?
wala hujui huyo ,Muhongo aliikuta REA tayari imeanza kazi?

Wewe ndo mbumbu mwingine unakuja kujaza sever humu
Hacha hoja dhaifu. Ni kipindi kipi REA ili perfom kuliko vipindi vyote kama siyo awamu za uongozi wa muhongo?

Lini financing ya REA ilivuka 2Mn USD kama siyo kipindi cha muhongo?

Mbona hatukuona kasi ya usambazaji umeme vijijini kipindi cha Ngereja na Simbachawene kama ilivyo kwa muhongo.

Pia tanesco ya muhongo na ngereja ipi haina mgao wa umeme na ipi imeongeza uwekezaji wa assets za shirika.

Msimtwishe muhongo mizigo aliyoikuta. Mpeni hukumu sahihi kwa aliyoyafanya. Siyo mikataba ya Karamagi mnamtwisha muhongo.

Acheni siasa chafu.
 
Je muhongo alihusika au anahusika?

Na huyo bosi wa tanesco asipokubaliana na maamuzi ya ikulu si angejiuzuru?

Ikulu ikiamua kwa niaba yako na wewe ikakubali umeamua wewe na itakula kwako. Unatakiwa UKATAE.

Kwaiyo unategemea na maraisi wajiwajibishe wakati maraisi wenyewe awataki hata mikataba ijadiliwe bungeni. Unafiki unafiki ni mbaya sana. Nambea ndugu yako augue ugonjwa mbaya sana apelekwe kwenye izo hospitali za serekali ndio tuone unafikiwako unakusaidiaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…