Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,572
- 164,442
Nje hapakuwa na hela ya kuzoa kama hapa! ya bure, heshima, utukufu, kuwalingia wakoma uliowaacha nyuma etc! Lise wise Tibaijuka!Muhongo anajuta kurudi nchini angejua.......lakini ninge ange.....ni majuto mjukuuu!!!
Pamoja na mapungufu ya Muhongo ila napenda jinsi anavyojiamni. Watu wachache wana "balls" kama za muhongo.Kwa Nipashe habari ya Muhongo sidhani kama naweza kuiamini sana, nakumbuka Muhongo alimwambia mzee Mengi akawekeze kwenye juice, gesi siyo mziki wake.
sio Lissu... aliitoa Kigwangala'sijapata kuona waziri muongo kama huyu prof.Muhongo..
narudia tena! ...Sijapata kuona waziri muongo kama huyu prof.Muhongo..' by Tundu Lissu