Tanesco ikifa lawama ni kwa muhongo, kwa sasa yeye ndie mkurugenzi mkuu wa tanesco,mameneja wa kanda wanaripoti kwake,anapokea malalamiko ya temporary break downs,yeye ndie meneja wa huduma kwa wateja wa tanesco,yeye anaamuru meneja huyu wa kanda simtaki huyu namtaka.
Muhongo ni mtaalam wa miamba na mawe asijifanye kuujua umeme,shurika lina hali mbaya kifedha na sasa hali itakua mbaya zaidi kwa maamuzi ya muhongo na sio menejimenti.
Muhongo anaua morali ya wafanyakazi wa tanesco,kuanzia mkurugenzi hadi mtu wa chini,yeye ni maagizo tu bila kujali muundo au mpango wa kazi wa tanesco,shirika sasa halina dira linaongozwa kwa mawazo na maagizo ya muhongo,shirika linatekeleza plans za muhongo na sio zake.
Muhongo ni tishio kwa ustawi wa shirika,muda sio mrefu hili shirika linafilisika.
Tupe mfano wa maagizo makubwa matano aliyoyatoa Muhongo kwenda Tanesco.
Pia, tupe maagizo aliyoyatoa Muhongo yakasababisha deni la Tanesco kukua mara 5 zaidi.
Pamoja na kusifiwa usomi uliotukuka lakini nina tatizo moja na huyu mtu, huyu ni wale type ya superiority complex kujiona na kujifanya anajua kila kitu na wengine ni wapuuzi tuu
Muhongo ni kiburi ana dharau majivuno na ubabe....ngoja tuone mwisho wake
labda ni lile la kuondoa service chargeTupe mfano wa maagizo makubwa matano aliyoyatoa Muhongo kwenda Tanesco.
Pia, tupe maagizo aliyoyatoa Muhongo yakasababisha deni la Tanesco kukua mara 5 zaidi.
Hakuna marefu yasiyo na ncha....!Analeta siasa tu kwenye mambo ya kitaalam....
halafu lawama iwashukie Menejimenti
Mnyonge Mnyongeni Haki Yake Mpeni, Huyu Bwana Mhongo ni Mtu Mzuri Sana Tatizo la Watanzania Tumepofushwa na Chuki, fitina, na Majungu, hii ndiyo Sumu inaloliangamiza Taifa Hili.
Kila kiongozi Mzuri, lazima Achafuliwe, jamani Katuroga Nani?
Kwa mtu makini hawezi kubeza wala kudharau utendaji wa Prof Mhongo, huyu Bwana, ni Mtendaji kazi na siyo mtu wa siasa, sote bila chembe ya unafiki, tunafahamu jinsi ambavyo amefanya kazi kubwa sana kwa muda mfupi kwenye sekta ya nishati na madini.
Tuacheni jamani majungu bila kuwa na Fact, ikiwa mtu Anafanya vizuri basi tumpongeze, uo ndiyo uhungwana jamani.
Mkuu fuatilia tu media
hata Tanesco kupunguza bei ya kuunga umeme lilikuwa agizo lake
kwa masharti kuwa serikali itatoa ruzuku
ni kweli inatoa ruzuku but haitoshelezi
na ina maana kuwa Tanesco isijiendeshe kwa faida na isijitegemee
isshi kwa ruzuku......na mwisho ndo hayo kwenda kukopa na deni kuongezeka....
soma hata ile hotuba ya Zitto siku ile anafunga ishu ya Escrow
aliitaja deni la Tanesco before Muhongo lilikuwa bilioni 50
now zaidi ya bilioni 300....
Now ameteuliwa tena na Magufuli anakuja na maagizo tele ya dizaini hiyo
Ninakubaliana na wewe kuwa Muhongo ana haiba ya superiority complex lakini ukiangalia kwa undani utagundua hii haiba mara nyingi ipo kwa watu wa makabila ya Muhongo.Pamoja na kusifiwa usomi uliotukuka lakini nina tatizo moja na huyu mtu, huyu ni wale type ya superiority complex kujiona na kujifanya anajua kila kitu na wengine ni wapuuzi tuu
Muhongo ni kiburi ana dharau majivuno na ubabe....ngoja tuone mwisho wake
ruzuku haitoshi huku wafanyakazi wa tanesco wakipeana umeme unit 700 kwa mwezi kwa shilingi elfu 10 tu...
yaani ukiajiriwa tanesco ukitoa elfu 10 unapewa unit 700 za umeme... na hapo hapo shirika linategemea serikali iwape ruzuku... kiukweli watanzania hatuna.shukrani.... tanesco ni jipu kubwa sana na najua mhongo akisaidiana na mwenzake wa kanda ya ziwa jemedari mkuu lazima walitumbue tu... tuwape muda... tanesco haimalizi huu mwaka na management hii hii ya kaskazini iliyozea ujanja ujanja
Huu ndio mtazamo wangu kwa huyu waziri, ana kiburi sana na kinampa jeuri. Mtu wa namna hiyo hata kukubali ushauri ni ngumu kwani kila kitu anajiona yeye ni zaidi!Pamoja na kusifiwa usomi uliotukuka lakini nina tatizo moja na huyu mtu, huyu ni wale type ya superiority complex kujiona na kujifanya anajua kila kitu na wengine ni wapuuzi tuu
Muhongo ni kiburi ana dharau majivuno na ubabe....ngoja tuone mwisho wake
Kama management ya tanesco imekaa muda wote huo lakini wameshindwa kushusha umeme,lakin prof ameanza juz tunaona impact yake,ni heri aendelee hivyo hivyo ili mambo yaende
Kama management ya tanesco imekaa muda wote huo lakini wameshindwa kushusha umeme,lakin prof ameanza juz tunaona impact yake,ni heri aendelee hivyo hivyo ili mambo yaende