Muhongo amfuata Jakaya Kikwete Uswisi

Muhongo amfuata Jakaya Kikwete Uswisi

No wonder umevimbiwa fedha za ESCROW! Pamoja na Uongo wote wa kulidanganya Bunge na wananchi pale Mjengoni! Pamoja na Kuhusika kwake kwenda kumleta Sethi kwaajili ya kufanikisha deal la ESCROW! Pamoja na kukataa Ushauri wa Mwanasheria Ngwilimi aliekwenda kufanikisha Due Diligence kule Malaysia na kasha kumlazimisha ajiuzulu na baadae kutengeneza Uongo ambao hata m.toto wa darasa la kwanza anaugundua BADO unaendelea kumsafisha huyu Kuwadi wa Rasilimali zetu? Tambua kuwa Cheo ni Dhamana na kama kweli angekuwa msafi asingeng'ang'ania madaraka bali angachia ngazi kasha wananchi wamsafishe kama kweli hakuhusika ... Kuendelea kukumbatia Uwaziri ni UFISADI mwingine wa kuendelea kutafuna fedha za walipa kodi ... Soon ataburuzwa mahakamani ....

Seth alikuwepo toka miaka ya 90 Muhongo kaingia miaka ya 2012 tuambie kamleta kutoka wapi au umelishwa unga wa ndere!
 
Seth alikuwepo toka miaka ya 90 Muhongo kaingia miaka ya 2012 tuambie kamleta kutoka wapi au umelishwa unga wa ndere!

Hawezi achia ngazi sababu ya kikundi cha walaji Mkuu mbona hamkomalii watu walioorodheshwa kuchukua hela mmemganda huyu JEmbe! Komaeni pande zote bas tuone kweli ni wapiganaji!
 
Keep this in your memory if at all your hippocampus hasn't malfunctioned as I have recently observed it being your major personal setback.
Nevertheless, people with such sarcastic minds and cynics rarely understand their past, they mostly dwell on racism, religious abuse or discriminating etc. They never stop being blind until they have slaughtered themselves to death. The hippocampus is dead, their past can not come back to their minds, they forget about their families, their dads, moms, and all. Lastly, they are prepared to cruelly murder their own womb offsprings in belief that they are serving their Gods. Once fulfilled, they bang their filthy, immoral chests as heroic Mohamadans, Christians, Buddhists etc. They never get to know their rebellious satanic nature. They will applaud the corrupt and ignore the death of the pregnant women and babies, they will bless the kings and bury their grandparents and daughters away so long they acquire the king's recognition. They will care not about their minors' healthy sufferings and bad educational consequences and poor social services impacts befalling them. With all the prosecutions taking place, although in acting manner to praise the kings but they never realize it, to them it is mere lies - so they shamelessly declare in public. They remain such ignorant and come to discover it too late after they have been forced out of their mansions and left dying in the culverts for flies' celebration. That is their end with anguishing penalty that none of ‘the like you' shall dare escape.

Roho zinawauma na uongo wa billioni 300 hamjauacha tu?

Kikwete haburuzwi.
 
Kama ni kweli alisema hivyo anastahili kupelekwa hospitali akapimwe akili. Anasahau kwamba akiwa katika ofisi ya serikali anawajibika kwa wananchi, ikiwa ni pamoja na kupitia waandishi wa habari?

Hawa maofisa wengine sijui wameingiliwa na mdudu gani kichwani anaewafanya wafikiri wao ni wao katika nchi hii, na wengine wote ni wapumbavu wasiostahili hata kuwafunulia midomo. Arrogance ya namna hii haistahili kabisa toka kwa mtu aliye ofisi ya serikali.

Kama ni upumbavu basi upumbavu uko kwake asiyejua jinsi ya ku-handle waandishi wa habari huku akijua yuko katika ofisi itakayomkutanisha na waandishi wa habari karibu kila siku. Kama kazi inamshinda si aombe tu kubadilishwa au kujiuzulu?

Wanajua hata wakitusi vipi hawaguswi! umesahau "asiyeweza kulipa nauli apige mbizi baharini" wabunge wanafikiria kwa makalio" hata majani kuleni ndege ya rais itanunuliwa? watanzania MNA wivu wa kike
 
Keep this in your memory if at all your hippocampus hasn't malfunctioned as I have recently observed it being your major personal setback.
Nevertheless, people with such sarcastic minds and cynics rarely understand their past, they mostly dwell on racism, religious abuse or discriminating etc. They never stop being blind until they have slaughtered themselves to death. The hippocampus is dead, their past can not come back to their minds, they forget about their families, their dads, moms, and all. Lastly, they are prepared to cruelly murder their own womb offsprings in belief that they are serving their Gods. Once fulfilled, they bang their filthy, immoral chests as heroic Mohamadans, Christians, Buddhists etc. They never get to know their rebellious satanic nature. They will applaud the corrupt and ignore the death of the pregnant women and babies, they will bless the kings and bury their grandparents and daughters away so long they acquire the king's recognition. They will care not about their minors' healthy sufferings and bad educational consequences and poor social services impacts befalling them. With all the prosecutions taking place, although in acting manner to praise the kings but they never realize it, to them it is mere lies - so they shamelessly declare in public. They remain such ignorant and come to discover it too late after they have been forced out of their mansions and left dying in the culverts for flies' celebration. That is their end with anguishing penalty that none of ‘the like you' shall dare escape.

Blah, blah, blah, blah, blah.

To sum it up, you are simply an uneducated fool from an uneducated school.
 
Lost....?? worry not, soon you will be restored to the right stand.....just give it a blink of an eye to discover the extent of your fooli.shness from your so called educated school if at all you attended one!! Do you seem so? I don't think.....

Blah, blah, blah, blah, blah.

To sum it up, you are simply an uneducated fool from an uneducated school.
 
Duh,Prof kashafika Uswisi tayari?jamaa yuko fasta kwenye kupanda ndege....!!
 
ule mgao wa escrow bado unaendelea,wameamua kwenda kugawana huko nje maana hapa wanaona kelele nyingi
 
Watanzania bwana, hatufanyi kazi siku hizi ukiamkaMhongo, ukilala Mhongo, mtaani Mhongo. Fanyeni kazi kama Mhongo alivyo bize nakazi na hasikilizikelele za watu.
 
Back
Top Bottom