unanitaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,178
- 1,046
Jamani jamani katika hali isiyokuwa ya kawaida, wanachama wa ccm wa temeke wamejitokeza kwa wingi kumdhamini profesa muhongo ili Aweze kuingia katika kinyang'anyiro cha urais, wanachama wengi baada ya kusikia profesa yupo katika eneo hilo walimiminika kwa wingi huku wakilalamika kwa nini hawakutaarifiwa kuwa jembe hilo lilikuwa hapo.