Simu ni torch! obline naingia nikiwa ofisini tuPole sana, weka simu rehani
Mi ni muaminifu sana, tatizo sina ndugu Dar, marafiki wachache nilionao nimeshawanotify ila kila mtu kilioomba kwa ndugu jamaa na marafiki wakutoe.kama unakuaga muaminifu kwenye kulipa utapewa tu.pole sana ,Mahindi wana roho nyeusiii
Kwa hyo kwa maana nyingine nyepes unaomba msaada /mkopo wa nauli jf ??Mi ni muaminifu sana, tatizo sina ndugu Dar, marafiki wachache nilionao nimeshawanotify ila kila mtu kilio
Mkuu nimekutumia PM. c unajua namba hadharani ni risk ingine hiyoWeka no.yako ya simu hapa.
Mkuu, home ni kibamba mbagala, kazini posta. huo wali na makande ndio nilitaka nipewe hiyo advance loan, meaning hapa home havipo. na niko kwa brother yangu nae hapiki, tarehe 15 ndo ntakuwa na ubavu wa kurent chumba changu nkSimple-
unaamka saa kumi asubuhi,unatembea.
-chakula unaenda na wali au makande kwenye lunchbox
kama ikiwezekana mkuuKwa hyo kwa maana nyingine nyepes unaomba msaada /mkopo wa nauli jf ??
Ushauri mzuri huu,,mtoa mada weka hyo smart fone bond upewe nauliPole sana, weka simu rehani
ni simu ya torch ya Bontel, nilinunua 25Ushauri mzuri huu,,mtoa mada weka hyo smart fone bond upewe nauli
ndo unayoingilia Jf sio?ni simu ya torch ya Bontel, nilinunua 25
Karibu tunatoa mikopo ya dharura tukikikabiliana unapata pesa papo hapoWakuu,
Nimepata ajira kwa muhindi tena nafasi nzuri tu kwenye kampuni kubwa, ila nikamwambia naomba advance hata ya elfu 50 kwaajili ya nauli na lunch, kawaka vibaya anasema hatoi hata 100! Nimecheki na staff wengine kwamba jamani eeh, nikicalculate usafiri na lunch hadi tarehe 15 mwezi huu napata kama elfu 50, mtu anikopeshe then ntampa 60 au 70, kila mtu kilio. Wadau nifanyeje maana hapa ninapoandika sina hata 100 na jumatatu niwe kazini kama kawaida!