Muhindi kanipa Ajira lakini mkopo wa nauli na lunch hadi tarehe 15 kanitosa. Nifanyeje?

Pole sana...
Boss haliliwi shida au njaa, itakuja kukutesa baadae...

Tafuta kwingine popote...

Cc: mahondaw
 
Wakuu,

Nimepata ajira kwa muhindi tena nafasi nzuri tu kwenye kampuni kubwa, ila nikamwambia naomba advance hata ya elfu 50 kwaajili ya nauli na lunch, kawaka vibaya anasema hatoi hata 100! Nimecheki na staff wengine kwamba jamani eeh, nikicalculate usafiri na lunch hadi tarehe 15 mwezi huu napata kama elfu 50, mtu anikopeshe then ntampa 60 au 70, kila mtu kilio. Wadau nifanyeje maana hapa ninapoandika sina hata 100 na jumatatu niwe kazini kama kawaida!
pita Tala na Branch au pambana na hali yako.
 
Wewe branch wanakukopesha elfu 20, tena unaweza usiipate kwa muda. Huyu anaomba msaada ili apate elfu 50 aweze kujikimu kwa nusu mwezi, cha kufanya tumchangie hiyo elfu 50 kupitia namba ya mdau mmoja, yeye ndio atamtumia. Kurudisha atarufisha hivyo hivyo
nimetoa wazo hilo in case atakosa kbs angalau impush kwa siku mbili tatu kuliko kukosa kabisa...khs huo mkopo kama akijaza vzr details zaka within an hour atakuwa ameshapata
Ujinga kisa kukosa elfu 50? Watu hatufanani boss.

Nahisi umetukana robo ya member wa jf
 
Simu ni torch! obline naingia nikiwa ofisini tu
Waone wajamaa wa mikopo ya dhararu, nenda ilala msaada gerej.au fika mawasiliano stend ya daladala, Zack finance wanatoa kuanzia elf tano mpaka m.20 kulingana na dhamana yako tu.wanatusaidia wabangaizaji mjini
 
Ntashukuru ukinisaidia mawasiliano yao mkuu
 
Hahaa, hapo umemshika mzee. Pale juu aliulizwa swali kama hilo, akasema anaingia kupitia desktop ya kazini. Halafu amesahau kuwa kwenye uzi wake amesema hyo kaz ataanza j3.asa hyo desktop ya kazin wap tena?
Anazngua bange uyu,,hayuko sirias
 
Ujinga kisa kukosa elfu 50? Watu hatufanani boss.

Nahisi umetukana robo ya member wa jf
Ni kweli jamaa katumia lugha siyo nzuri. Kuna watu, tena wengi tu hata elfu mbili anaisikia tu. Lakini huyu mwanzisha thread anaweza akawa ana mengi yaliyojificha behind the scene! Naona siku hizi kuna mwelekeo wa JF kutumiwa na watu wenye malengo yasiyo na mashiko kuomba misaada.
 
Wakuu,

Nimepata ajira kwa muhindi tena nafasi nzuri tu kwenye kampuni kubwa, ila nikamwambia naomba advance hata ya elfu 50 kwaajili ya nauli na lunch, kawaka vibaya anasema hatoi hata 100! Nimecheki na staff wengine kwamba jamani eeh, nikicalculate usafiri na lunch hadi tarehe 15 mwezi huu napata kama elfu 50, mtu anikopeshe then ntampa 60 au 70, kila mtu kilio. Wadau nifanyeje maana hapa ninapoandika sina hata 100 na jumatatu niwe kazini kama kawaida!
Piga hesabu ya usafiri tu.Kuhusu lunch si lazima.Jifanye unafanya diet. We tafuta nauli tu,na karanga kidogo basi. Weka namba ya simu watu wanaweza kuchangia hata buku ya jumatatu
 
Mkuu, wengine tumelelewa na vituo vya watoto yatima, ukifikisha miaka 18 unaingia mtaani kusaka maisha mwenyewe, so ndugu na amarafiki ni wale unaokutana nao kwenye heka heka zako
Sasa mbona umesema unakaa na Kaka yako chumba kimoja lakini ampiki.
 
Uache ujinga jitahidi upate hela ya kuazima nje na kazi ukitaka kufanya kazi vizuri kwa wahindi usiwakope
 
Slavery.
Daah, yaan hela ya mafuta ya siku moja wewe ndio ule na usafiri kwa mwezi mzima, hivi mnaishije? Seriously..
 
Hapa ndo utajua umuhimu wa tigo nivushe unakopa 20,000 unarudisha 22,000,25,000,27,000 kutokana na unavyoona unaweza
 
Back
Top Bottom