Muhimu

Muhimu

fpazi

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
15
Reaction score
1
Wana Jamii, mini natakiwa kwenda kwenye interview tar 12 mwezi wa 4 kwenya kampuni moja inaitwa SWALA OIL AND GAS (TANZANIA) LTD kama PLANNING ANALYST. Kwa kusema kweli sijui hawa jamaa wapoje katika swala la mishara na jinsi wanavyo conduct interview zao. Mwana jamii yeyote mwenye idea naomba anisaidie, nimechoka kukaa mtaani
 
Try to find out their location then,you may visit the place several times so us to meet with some staff and ask them about the situation before the interview.RAHA YA NGOMA INGIA UCHEZE[/COLOR]
 
I know where the place is located, but the thing is I cannot go and start asking the staffs how they conduct their interview and how much they plan to reward the right candidate of the position
 
wadau inamaana hakuna mtu wa kunipa hata rough fig ya mishahara ya hizi kampuni za kutafuta mafuta na gsi
 
All the best. Kapambane mpaka uwaweke unapotaka na kustahili. kila la kheri. usisahau malupulupu wakati mwingine mshara si kitu ila kuna vitu vingine huwa vina tija sana.
1.transport allowance
2 gratuite
3. health insurance
4. social funds
5. per diem on travels
6. leave allowances
na mengine mengi ......................

kila lakheri mkuu......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom