Bado Niponipo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2008
- 680
- 168
- Thread starter
- #21
mie nina Escudo Vitara ya mwaka 1996, km 146,000, cc 2000, milango 5, fully loaded kwa 7.5m
uko juu kwa Escudo ya 1996, km 146,000
mie nina Escudo Vitara ya mwaka 1996, km 146,000, cc 2000, milango 5, fully loaded kwa 7.5m
toyota spacio mwaka 2000 km 104000 nyeupe bei 7.5ml
Asante mkuu lakini uko juu sana kwa spacio ya mwaka 2000 na km 104,000.
mie nina Escudo Vitara ya mwaka 1996, km 146,000, cc 2000, milango 5, fully loaded kwa 7.5m
kuna rvr imewekwa injini ya korola inaenda kwa 5m na raumu 6m hizi anazo mshikaji wangu kama vipi utaitaji detail zaini ni pm nikuunganishe naye
Mkuu inamaana rvr pamoja na raumu zote zina injini ya korola.?
Kaka ilobadilishwa injini ni rvr .natumia simu nashindwa kuapload picha
Toyota Corolla, 1996, Petrol, 1500cc ,Automatic , 180,000 km. Contacts 0714313362
View attachment 48764
Aliyetayari kuuza gari ZURI kwa kiasi hicho please, weka picha na specs za hilo gari na ulipwe cash bila usumbufu wowote.
Amabatanisha na teatures zake:-
Year/ Kilometres/ Transmission/Fuel/Drive Type /Drive Side/ Colour /Doors/Engine Size/Interior Trim.
Air Conditioning, Airbags, Alloy Wheels, CD Player, Electric Mirrors, Electric Windows, Power Steering etc.
Asante in advance.
BNN
Nina Nissan March, imported from Japan in 2010, automatic, 998cc, 2000 model, 5 doors, recently serviced,ado reads 42+ (42,000) km... grey metalic colour, in a very good condition....
Natumia simu, siwezi kuupload pictures kwa sasa, kama vipi kesho tukutane town asubuhi. Nipigie 0714881500. Cheers.
Tupe haki yetu mkuu, weka picha mkuu Doltyne ili hata niponipo akishindwa wengine tunaweza daka chap chap
Bwana mdogo ukitoa tangazo hapa na kama ukifanikiwa ni ustaarabu urudi hapa utujulishe, kama umepata au laa na ikiwezekana utuwekee na picha na useme uko wapi ili watu wale lift mara moja moja.