Muhimu: UZA GARI KWA SH. 5,000,000 CASH

kuna rvr imewekwa injini ya korola inaenda kwa 5m na raumu 6m hizi anazo mshikaji wangu kama vipi utaitaji detail zaini ni pm nikuunganishe naye
 
Asante mkuu lakini uko juu sana kwa spacio ya mwaka 2000 na km 104,000.

Haina noma mkuu lakini ukiagiza toka nje ushuru pekeyake unakaribia 4m sasa angalia na nimetembea km 20elf toka niagize inamana ililkuwa na 82elfu wakati naingiza nchni.
 
kuna rvr imewekwa injini ya korola inaenda kwa 5m na raumu 6m hizi anazo mshikaji wangu kama vipi utaitaji detail zaini ni pm nikuunganishe naye

Mkuu inamaana rvr pamoja na raumu zote zina injini ya korola.?
 
Toyota Corolla, 1996, Petrol, 1500cc ,Automatic , 180,000 km. Contacts 0714313362

IMG0099A.jpg
 
Aliyetayari kuuza gari ZURI kwa kiasi hicho please, weka picha na specs za hilo gari na ulipwe cash bila usumbufu wowote.

Amabatanisha na teatures zake:-

Year/ Kilometres/ Transmission/Fuel/Drive Type /Drive Side/ Colour /Doors/Engine Size/Interior Trim.

Air Conditioning, Airbags, Alloy Wheels, CD Player, Electric Mirrors, Electric Windows, Power Steering etc.

Asante in advance.

BNN

Nina Nissan March, imported from Japan in 2010, automatic, 998cc, 2000 model, 5 doors, recently serviced,ado reads 42+ (42,000) km... grey metalic colour, in a very good condition....
Natumia simu, siwezi kuupload pictures kwa sasa, kama vipi kesho tukutane town asubuhi. Nipigie 0714881500. Cheers.
 
Tupe haki yetu mkuu, weka picha mkuu Doltyne ili hata niponipo akishindwa wengine tunaweza daka chap chap
 
Tupe haki yetu mkuu, weka picha mkuu Doltyne ili hata niponipo akishindwa wengine tunaweza daka chap chap

Natamani ningekuwa na picha hapa nibandike, ila ndio hivyo, zipo kwenye camera na sina ujanja wa kuzibandika hapa kwasababu sina computer karibu, na simu ninayotumia camera imeshakufa... Ila naguarantee gari ni safi sana, naitumia daily mjini hapa na haijanisumbua chochote, body pia bado safi kabisa... Ndani ndio kama imekuja jana kutoka jpn.
Kama uko serious, nipigie kesho tuonane town uicheki.
 
Bwana mdogo ukitoa tangazo hapa na kama ukifanikiwa ni ustaarabu urudi hapa utujulishe, kama umepata au laa na ikiwezekana utuwekee na picha na useme uko wapi ili watu wale lift mara moja moja.
 
Bwana mdogo ukitoa tangazo hapa na kama ukifanikiwa ni ustaarabu urudi hapa utujulishe, kama umepata au laa na ikiwezekana utuwekee na picha na useme uko wapi ili watu wale lift mara moja moja.

Mh!:nerd:
 
mimi nauza carina ya mwaka road box ya mwaka 1989
Tsh mill 2
 
Mkuu umeshapata gari, kuna jamaa hapa ana Spacio imeingia bongo 2011, 6mil
 
Hii bado ipo? Kuna Toyota Vitz iliyotumika Tanzania (lady-driven) inauzwa Tshs. 5,000,000/-

Year-1999/ Kilometres-101,200/ Transmission-Automatic/Fuel-Petrol/Drive Type-(ndio nini?)/Drive Side-RHS/ Colour-Pink /Doors-5/Engine Size-970cc/Interior Trim-(ndio nini?).

Air Conditioning(YES), Airbags(YES), Alloy Wheels(YES), CD Player(YES), Electric Mirrors(YES), Electric Windows(YES), Power Steering(YES) etc.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom