Muhimu: ulinzi wa taarifa binafsi

Alloyce PR

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2020
Posts
801
Reaction score
867
Tahadhari; kuwa makini na barua pepe zote zinazotumwa kupitia normal messages au kwenye email yako.

Hususan zile zinazokuvutia kama scholarship, paper submission, conference invitations, mikopo na nyingine zinazofanana na hizo. Wadukuaji wengi hutumia njia hizi kupitia mbinu kama ClearFake au ClickFix. Kuweni makini sana."

 
Mimi mkulima wa mahindi wa robo eka, wakichukua taarifa zangu zinaweza kuniathiri vipi?
 
Mimi ni adumini wa magrupu 16 ya wasap, hizo taarifa zangu wakichukua watazifanyia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…