muhimu tulijue hili

no apology until the last drop of ya blood buddy!
 
Napingana nawe Ruhazwe JR. Usahihi ni kuwa kuna watu ambao ni wagumu sana kusamehe mambo mengine.

Arushaone unajua hata Mungu mwenyewe kuna mahala alikasilika kias kwamba akashindwa kutoa msamaha,umewai kujiuliza kwa nini MUSA aliye waongoza wana wa islael hakuingia nchi ile ya ahadi?
 
Last edited by a moderator:
Arushaone unajua hata Mungu mwenyewe kuna mahala alikasilika kias kwamba akashindwa kutoa msamaha,umewai kujiuliza kwa nini MUSA aliye waongoza wana wa islael hakuingia nchi ile ya ahadi?

Mkuu huyo Mungu asiyesamehe atakua ni Mungu wa kwako...lakini si Mungu wa Mussa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…