Nahitaji namba za
Mh. Anna Tibaijuka- waziri wa ardhi
Mh. H. Mwakyembe - waziri wa Uchukuzi ambapo naweza kuwapata direct na ikiwezekana namba ya Magufuri.
kifupi ni kwamba, tumetolewa kwenye eneo la biashara kupisha ukarabati wa standi ya daladala Jamatini hapa Dodoma mjini. Katika harakati za hapa na pale kikapatikana kieneo kidogo hapa hapa stand. Mmoja kati ya waathirika nikimaanisha mwenzetu mmoja kaweka katika hicho kieneo ndipo na baadhi yetu tukapata ujasiri wa kuweka sasa hili ni eneo la Railway, sasa kuna bar inaitwa Actic bar sasa huyu jamaa anatuma kundi la watu usiku kuvunja mabanda ya watu na yeye amejigawia eneo la railway kifisadi ndo maana naomba za hawa wahusika. Ukarabati wenyewe wa standi ni ufisadi ndo maana nahitaji namba ya Magufuli katika Ujenzi.
Samahani kwa uandishi kama sjaeleweka lkn kikubwa ni Namba!