Muhimu kwako

Prince Akeem

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Posts
886
Reaction score
382
Katika maisha inabidi ukubali sio lazima upate kila unachotaka na kujilinganisha na wengine ndio kinauma.
Kuna watu wanalalamika kutoitwa na PCCB kama ndio mwisho wa maisha kana kwamba PCCB wamechukua vyeti vyako na hawata apply tena.
HAiwezekani hata siku moja watu waitwe wote na hata mkiitwa wote sio wote mtapata kazi.
Hata siku moja usichukulie kitu ambacho hauna ndio sababu ya kutofanikiwa.
niamini mimi,wewe uliye na cheti ya form four na D nne tu umaweza kufanikiwa iwapo ukiongeza juhudi katika kutafuta sehemu sahihi kwako.
Tanzania kuna ma company mengi zidisha ku apply na kumuomba MUNGU.
 
pamoja sama. ukidondoka ni jukumu lako kuamka na kuendelea na safari
 
mwenyezi Mungu akubariki nakukulinda ktk jina la yesu
 
Katika watu wenye busara,wewe ni miongoni mwao. HUBARIKIWE SANA KATIKA MAISHA YAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…