Ninayo Atmel AT89C51 ila ipo mbeya, kama upo dar kuna duka moja lipo kariakoo wanauza vifaa vya electronics na vingi ni kwa ajili ya projects. ila jina la hilo duka nimelisahau.
View attachment 321379
Hiyo sehemu nimezungushia na red lipo maeneo hayo wanazo hizo Microcontrollers unazohitaji sana sana PIC na Atmega.