Mi nadhani wataalam wa muhimbili wapo sahihi, na naanza kupata shida na udakitari wa mtoa hoja,
huenda kuna utafiti mpya unaoonesha kupiga nyungu hakusaidii kuondo corona lakini je,ni kweli kujifukiza kunasaidia kuondoa corona peke yake? Vipi mahoteli yenye sehemu za kujifukiza kwa majina ya "sauna bath"? na watu wanalipia kwa huduma hiyo.
mtambo huo umejengwa kwa gharama kama kazi yake ya kwanza imeisha uendelee kutumiwa kwa matumizi mengine.
Vinginevyo mheshimiwa mbunge bado ana hasira ya kupokonywa tonge la uwaziri ni hiyo sababu yake haina tija kwetu watanzania.