Muhimbili kuanza kupandikiza mimba mwaka 2020

Chips mayai zimeharibu vijana wetu

Usisingizie Chips mayai kwa vijana angalia reference ya kiukweli kwa "Diamond" yaani akimwangalia tu msichana kesho kajaaa, taabu ya wasichana wengine wana vichuguu mawe na sio mayai viunoni mwao
 
Waweke utaratibu kama wa India wanavyofanya, wale wanaume wanaotoa mbegu zao huacha na picha zao ili wanawake wanaohitaji watoto huchagua picha ya mwanaume aliyeacha mbegu. Maana wengine wanaacha mbegu za wafupi, wanene, au warefu nk.
 
Suala la machinjio hilo lishaisha hadi hii leo wewe unakula nyama kuna watu wamefight sana hadi serikali na jamii kukubali na kuona ni kawaida machinjio kuwa na mchinjaji muislam mwanzo hali haikuwa hv km uonavyo kwenye uvaaji hijab na sala ya ijumaa mada yetu mimi nawe tunaongelea jambo jipya ambalo wewe na imani yako halikugusi kabsaaa umeambiwa Muhimbili wana pandikiza mimba hiari yako uende usiende deal na vitu vinavyogusa moja kwa moja imani yako km wao wataenda kupandikiza ni juu yao suala la ushoga nalo mada yake tulishafunika kitambo sio sisi tu waislam hata wakristo na wapagani hawaukubali na unapigwa vita vya kutosha ingawa miongoni mwetu wapo wanaosapoti ila bado haiondoi ukweli kwamba asilimia kubwa tunaupiga vita!
Sasa ndugu ukiona jamii inapotea huoni ni jukumu lako kama Muislam kupaza sauti kuwa hili sio sahihi?
Ni nini umuhimu wa Dini sasa, kama sisi watu wa Dini tunaona mambo yasiyofaa tunakaa kimya kwa kisingizio kuwa hayatuhusu?
Kuna morals nyingine tukiona zinavunjwa lazima tuongee ndugu,
maana kama maadili yanavunjwa na sisi tunakaa kimya, watoto wetu wajukuu wetu watazaliwa watayaona ya kawaida na Dini itazidi kudharaulika.
Mfano wakaanzisha operesheni za kubadilisha watu jinsia, hospitali za umma, watoto ama wajukuu zetu wakizaliwa, wakikua na kulikuta litakua jambo la kawaida kwao

Sio Waislam tu, hata Wakristu, kama Wakristu wanakaa kimya haimaanishi na sisi tukae kimya
 
kuna wazee Meno yote nje ..

Ila hii tutakuja kusikia watu wanaibiwa Condom yenye maniii...
Ndio wanawake wataiba manii na hiii ishatokea huku America..
,😁😀😂
 
Sasa ndugu ukiona jamii inapotea huoni ni jukumu lako kama Muislam kupaza sauti kuwa hili sio sahihi?
Ni nini umuhimu wa Dini sasa, kama sisi watu wa Dini tunaona mambo yasiyofaa tunakaa kimya kwa kisingizio kuwa hayatuhusu?
Kuna morals nyingine tukiona zinavunjwa lazima tuongee ndugu,
maana kama maadili yanavunjwa na sisi tunakaa kimya, watoto wetu wajukuu wetu watazaliwa watayaona ya kawaida na Dini itazidi kudharaulika.
Mfano wakaanzisha operesheni za kubadilisha watu jinsia, hospitali za umma, watoto ama wajukuu zetu wakizaliwa, wakikua na kulikuta litakua jambo la kawaida kwao

Sio Waislam tu, hata Wakristu, kama Wakristu wanakaa kimya haimaanishi na sisi tukae kimya
Uko sahihi sana tunapishana sehemu ndogo sana shukran kwa maelezo yako mazuri!
 
Back
Top Bottom