Muheshimiwa Zitto kabwe anaendeleaje wana JF?

harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,888
1,347
Jamani jana baadhi ya watu wasiopenda wanaharakati walizusha kuwa mbunge wa
kigoma kaskazini ametutoka watu tukapatwa na mishtuko ya ghafla kwani unasikia
Mh.mwakyembe anaumwa mara Mh.mwandosya sasa kamanda zitto inatisha........

tujuzeni wadau
 
Back
Top Bottom