Muheshimiwa waziri

Tetetetete waziri wa MUGABE ni shida tu.



Anaandika swissme(MBOBEZI) twitter.

"Hivi Hawa Watu, Wanataka Upinzani Upambanaje na Ufisadi? Vyombo Vyote vya Kisheria, na vya Kudili na Ufisadi Vipo Chini ya Serikali ya CCM! Wanataka CHADEMA Ndiyo Iwafungulie Mashitaka Mafisadi?CHADEMA Ndiyo Ifanye Uchunguzi?.

Swissme


Swissme
 
@mis natafuta mshauri swahiba wako apunguze mihemko
 
Duh! kweli hata viongozi tunaowategemea wanaleta mapichapicha kama wasanii.
 
Siku zote, nina mashaka na uwezo wa huyu waziri. He reasons like ......... (ngoja niweke akiba ya maneno)
 
Hahahahah!!! Kweli Africa tuna viongozi vifurushi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…