Muhenga unakumbuka wapi sindano za kuchemsha?

Kituo cha afya ipogolo chini ya mwandamizi Dk Adamson in late 80s
 
Niliwahi kuchomwa sindano ya kristapen kupitia sindano ya kuchemsha.

Nakumbuka kipindi hicho walikua wanasema krista pen ni dawa kali sana hivyo ilikua na uwezo wa kutibu malaria.
Crystapen
 
Hospitali ya Makao Makuu ya Jeshi Upanga mkabala na Diamond Jubilee Hall.

Muhimbili Medical Centre.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…