Muhammad sio mzao wa Ishamael

sasa baba yake adnan umewwkewa wewe una kataa.tukueleweje!?
Nimewekewa na Nan?

Ibn kathir , Muhammad na wanazuoni wanakataa

Wewe mmatumbi unamtoa wap baba yake Adnan?
 
Huyu Yesu aliye na baba wawili Kama biblia ilivyoandika
 
Hii ntaisoma baadae
 
orodha hyo hapo.mnatakanini tena
 

Attachments

  • Screenshot_20250506-062109.png
    82.1 KB · Views: 24
Wayahudi wanamwita Yesu ni zao la zinaa. Wayahudi ndio walimua walimuua Yesu kwa kifo cha fedheha. Wayahudi ndio walivuruga maadiko ya Injili kwa makusudi ili kuanzisha dini ya Ukiristo ambayo yesu wala haijui wala hakuifundisha. Wayahudi ndio walianzisha makanisa ambayo hata yesu hayajui wala hakuwahi kujenga hata moja.
 
Marko (Mar) 9:41
Kwa kuwa ye yote atakayewanywesha ninyi kikombe cha maji, kwa kuwa ninyi ni watu wa Kristo, amin, nawaambia, hatakosa thawabu yake.

For whosoever shall give you a cup of water to drink in my name, because ye belong to Christ, verily I say unto you, he shall not lose his reward.
 
Maneno ya Marko
 
Yeau ukoo wake ni upi?? Maana hakua na baba
 

Attachments

  • Screenshot_20250506-134518.png
    103 KB · Views: 22
  • Screenshot_20250506-134729.png
    96.3 KB · Views: 24
  • Screenshot_20250506-134805.png
    97.8 KB · Views: 18
Uislamu ni dini ILIYOJENGWA Kwa propaganda kubwa sana, kila fundisho kwenye uislamu msingi wake ni propaganda yenye kujinasibisha na kizazi cha Uyahudi na manabii wake ,
Wewe si juzi tu ulituambia kwamba UISLAMU ni mradi wa wakatoliki ? Tushike lipi ?

Kingine Uyahudi ni dini, hakuna nabii ambaye alikuwa Myahudi.
 

Biblia mnaiamini nyinyi. Halafu kwanini Wakristo mnapenda kujinasibu na Mayahudi ? Au kwa sababu ni makafiri wenzenu au ?
 
Kingine ujifunze namna nzuri ya kunukuu habari. Jitahidi kuweka mpaka kurasa za vitabu husika, majina ya waandishi, jina la kitabu, kadhalika namba ya hadithi.
 
Wewe si juzi tu ulituambia kwamba UISLAMU ni mradi wa wakatoliki ? Tushike lipi ?

Kingine Uyahudi ni dini, hakuna nabii ambaye alikuwa Myahudi.
Unaona ulivyo hutumii akili,

Uislamu imejengwa kwa propaganda

WALIO injinia ni wakatoliki hata hiyo Quran ni kazi yao,nitaleta ushahidi nipo naandaa makala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…