Muhammad sio mzao wa Ishamael

Kusema Muhammad ana undugu na Ishmail mtoto wa Ibrahimu hiyo maana yake Mohammad ana asili ya kiyahudi. Hiyo ni kufuru kubwa sana katika uislamu.
 
nimekuuliza adnan baba yake nani
Umeuliza swali ambalo wanazuoni wamelijibu vzr sana ,

Kwa mujibu wa riwaya nyingi za kihistoria, hasa zile zinazopatikana katika vitabu vya nasab (genealogy) vya waarabu, jina la baba wa Adnan mara nyingi hutajwa kuwa ni Ma‘add bin Adnan.

Muhammad bin Abdullah bin Abdul-Muttalib bin Hashim bin Abd Manaf bin Qusay bin Kilab bin Murrah bin Ka‘b bin Lu’ayy bin Ghalib bin Fihr bin Malik bin al-Nazr bin Kinana bin Khuzaymah bin Mudrikah bin Ilyas bin Mudar bin Nizar bin Ma‘add bin Adnan.

Maana yake ni kuwa:

Baba wa Adnan ni haijulikani kwa uhakika.

Mwana wa Adnan anayeaminika ni Ma‘add, ambaye ndiye chanzo cha ukoo wa Waarabu wa kaskazini (al-‘Arab al-Musta‘ribah).


Wanazuoni Wanasemaje kuhusu Baba wa Adnan?

1. Ibn Kathir anasema:

“Watu wamesimulia kwa wingi kuhusu waliokuwa juu ya Adnan, lakini hakuna cha kuaminika.”

2. Imam al-Tabari anawasilisha orodha ndefu ya vizazi vya juu ya Adnan, lakini anasema wazi kuwa:

“Simulizi hizo hazina ushahidi wa kusadikika.”

3. Imam Ibn Hajar al-Asqalani:

“Ma‘add ni mtoto pekee wa Adnan aliye thibitishwa.”

Ma‘add ni mwana wa Adnan anayekubalika kihistoria.

Baba wa Adnan hakujulikani kwa hakika, na hata kama kuna majina yanayotajwa kama Udad au Send, hayo ni ya kukisia tu na hayana dalili za hadith au sanad sahihi
 
Naona munafungua makanisa tu kila kukicha. Anyway haitusumbui since mtume wa Allah aliyatabiri haya. Cha kukushauri ni kwamba usiwe unasoma hadith na aayat kama vipeperushi vya bibilia vinavyohamasisha ushoga
 
kwa hyo kukaa kimya kwa wakristo juu ya uovu wa wayahudi ndo una ona wako sahihi?
Mada hapa ni historia ya mchongo kuhusu Ismail (myahudi) kuwa sehemu ya ukoo wa Mohammad (muarabu).
Mimi nikatoa logic ya kawaida kabisa kuwa, kwa namna uislamu na Muhammad alivyojenga chuki mbaya dhidi ya wahayudi yatakuwa ni maajabu makubwa yeye kuwa na asili ya uyahudi.

Upande wa pili, wakristo huwezi kusikia wakilaani wayahudi kwa sababu ya asili ya Imani ya kikristoe na Mungu wa kikristo kuwa na mizizi katika uyahudi pasipo kujali nini kibaya ambacho jamii za kiyahudi imewahi kukifanya dhidi ya ukristo, Yesu na mitume wake.
 
Kuangaika na kitu kinachoitwa riwaya sijui hadithi kunahitaji muda wa kupoteza.
 
Hii naona ina make sense. Kuwa inakuaje tena mudy awe na uyahudi ndani yake
 
muhammad hakujenga chuki.aliongea ukweli kuhusu tabia za wayahud
 
Naona munafungua makanisa tu kila kukicha. Anyway haitusumbui since mtume wa Allah aliyatabiri haya. Cha kukushauri ni kwamba usiwe unasoma hadith na aayat kama vipeperushi vya bibilia vinavyohamasisha ushoga

Ungeweka mchango wako hapa katika hii mada fikirishi kuliko mipasho. Wewe una uelewa gani katika hili suala uliyehamasishwa kuwa shoga. Unajua muhamad aliwanyonya watoto ulimi?
 
sasa baba yake adnan umewwkewa wewe una kataa.tukueleweje!?
 
muhammad hakujenga chuki.aliongea ukweli kuhusu tabia za wayahud
Kwa hiyo Mohammad alisema ukweli kuhusu tabia za wayahudi akiwa kama nani?
Kama sehemu ya wayahudi au waarabu?
Kusema ukweli wa tabia za watu ni kuagiza watu wale waangamizwe popote?
Mohammad alisema hayo akiwa amesahau kuwa naye ni myahudi?

Logic iko wapi?
 

Wagalatia mmeshagundua kuwa hamuna hoja za kushindana na Quran kuhusu uislam maana Quran ndio kiboko ya makafiri

Badala yake Sasa mnatafuta tafuta hoja kutoka katika riwaya za watu Ili muendelee kudanganyana

Kwa kuwa mmezoea kudanganyana endeleeni maana huko katika riwaya ndio maala pake Kwa wanaopenda kudanganyana
 
Kazi ya Quran ni kuwatakasa manabii wa Mungu

Nyinyi wagalatia jinsi ambavyo mlikuwa mnamtukana na kumkejeli nabii Ishmael Leo hi amekuwa keki kwenu?

Nyinyi simlifundishwa kanisani kuwa Ishmael ni mtoto wa nje ya ndoa

Sasa Kuna shida gani kama mtume Muhammad ametokana na Uzao wa Ishmael ambaye nyinyi wagalatia kwenu ni mtoto wa nje ndoa wa nabii Ibrahim

Mmedanganywa sana na bado mnaendelea kudanganyana
 
Mtu mzima na akili yako unakaa kuongelea ukoo na uzao wa jamii nyingine badala uzungumzie uzao wa kwenu.

Unakesha kufuatilia uzao wa mwanaume mwingine na ukoo wake ukiacha kufuatilia uzao wa mababu zako. Ama huyo Ibrahim alikua mwanaume kuliko babu yako?

Dini zimepumbaza sana waafrika.
 
Kumbe Muhamadi alikuwa Myahudi..!
Basi Mwenyezi Mungu na amuangamize, aligeuzwa namna gani huyu!
.............
[ AT-TAWBA - 30 ]
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu.
Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu.
Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao.
Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao.
Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
.............
{Eti ndio wahayi huo, wakati ni maneno ya kujitungia tu ya Muhammadi, hapo anamlaani hadi Yesu mwenyewe}
Alaf kuna mamilioni ya watu wanamwamini
 
Acha porojo,huna hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…