Muhali gani wapendwa

Muhali gani wapendwa

karibu sana, hv ubuyu unatengenezwaje tena?
 
Miye naitwa dada Mangoda, natokea Tanga ati. Naomba niwe mgeni mnikarbishe kwa upendo mnionyeshe mandhar ya JF. Nawapenda wote

Karibu sana bibie Tanga kubwa wapi? Mabanda ya papa, Raskazoni, Chuda, Makolola...
 
<p>
Karibu sana bibie Tanga kubwa wapi? Mabanda ya papa, Raskazoni, Chuda, Makolola...
</p>
<p>&nbsp;</p>
chatu dume kumbe weeh ndo mzee fataki eeh?
dada mgeni karibu sana,kamba mguuni itatoka sasa hivi.
 
Karibu sana Mangoda,Tanga kunani?Waja leo waondoka leo
 
<p></p>
<p>&nbsp;</p>
chatu dume kumbe weeh ndo mzee fataki eeh?
dada mgeni karibu sana,kamba mguuni itatoka sasa hivi.

Kinga'asti mimi nimemkalibisha tu mgeni usiofu, si unajue tena mambo ya Tanga Chapati za maji kwa Samaki jodari
 
Back
Top Bottom