Mtanzanika
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,389
- 1,131
Eti mmecheka?
Eti mmecheka?
Nimecheka mpaka nimepaliwa na ubwabwa.
me sijaelewa. kakusudia nini?
Hivi unafahamu kuwa ulezi ni bora kuliko mchele, unavyoonekana upo -ve kwakila kitu.mnasemaga Kama Ugali wa Ulezi???
me sijaelewa. kakusudia nini?