Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,236
- Thread starter
-
- #61
Hii sifahamu itakuwaje maana wote mama Mujuru na Munangagwa wote wanatoka ZANU PF, sasa katiba ya Zimbabwe sifahamu inasemaje kuhusu hili.
Munangagwa ni waziri wa Ulinzi.
Huyu jamaa ni Kifaru zaidi ya Mugabe .Afadhali aendelee kumdhibiti kibaraka wa wazungu MorganHabari zilizopo ni kwamba raisi wa Zimbabwe ambaye kwa kipindi kirefu ametuhumiwa kuwa na utawala wa kimabavu dhidi ya chama kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe yuko mahututi akitibiwa nchini Singapore na inasemekana Makamu wa Raisi tayari anaiandaa Zimbabwe kwa ajili ya msiba mzito. Mugabe anasemekana kwamba ameshamteua mrithi wa kiti chake cha uraisi, Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo, Emersson Mnangagwa. Maoni ya watu wengi nchini Zimbabwe ni kwamba utawala chini ya Mnangagwa huenda ukawa wa kimabavu zaidi ya Mugabe. Mnangagwa alikuwa kiongozi wa mapambano ya msituni dhidi ya Uingereza, na mkuu wa Intelligence baada ya uhuru. Aliongoza kampeni za kikatili dhidi ya Zapu zilizosababisha maelfu ya watu wa kabila moja kubwa nchini Zimbabwe kuuwawa, na pia kampeni nyingi dhidi ya Morgan Tsvangarai na wafuasi wake zimekuwa chini ya Mnangagwa.
Kitendo cha Mugabe kumruka Vice President Joice Mujuru na kumkabidhi uraisi Waziri wa Ulinzi Mnangagwa huenda kikaleta taharuki nchini Zimbabwe. Mujuru ni mke wa aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Zimbabwe ambaye aliuwawa hivi karibuni katika mazingira ya kutatanisha.
Source: Daily Mail, April 10 2012
Loosing Two presidents at a go........
teh teh teh,chedhea kizungu weweActually, a lot of them are loose, but we might be losing the second president, soon
Actually, a lot of them are loose, but we might be losing the second president, soon
Ivi wewe yaani kweli unaamini eti Mugabe ataishi milele na milele?...Long Live Mugabe ...
Habari zilizopo ni kwamba raisi wa Zimbabwe ambaye kwa kipindi kirefu ametuhumiwa kuwa na utawala wa kimabavu dhidi ya chama kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe yuko mahututi akitibiwa nchini Singapore na inasemekana Makamu wa Raisi tayari anaiandaa Zimbabwe kwa ajili ya msiba mzito. Mugabe anasemekana kwamba ameshamteua mrithi wa kiti chake cha uraisi, Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo, Emersson Mnangagwa. Maoni ya watu wengi nchini Zimbabwe ni kwamba utawala chini ya Mnangagwa huenda ukawa wa kimabavu zaidi ya Mugabe. Mnangagwa alikuwa kiongozi wa mapambano ya msituni dhidi ya Uingereza, na mkuu wa Intelligence baada ya uhuru. Aliongoza kampeni za kikatili dhidi ya Zapu zilizosababisha maelfu ya watu wa kabila moja kubwa nchini Zimbabwe kuuwawa, na pia kampeni nyingi dhidi ya Morgan Tsvangarai na wafuasi wake zimekuwa chini ya Mnangagwa.
Kitendo cha Mugabe kumruka Vice President Joice Mujuru na kumkabidhi uraisi Waziri wa Ulinzi Mnangagwa huenda kikaleta taharuki nchini Zimbabwe. Mujuru ni mke wa aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Zimbabwe ambaye aliuwawa hivi karibuni katika mazingira ya kutatanisha.
Source: Daily Mail, April 10 2012