Mugabe collapses!

Mugabe collapses!

Mungu anataka kuisafisha Afrika! Mwaka huu na miaka mitano mbele Madikteta hawana nafasi,kama sio roho zao,bas wananchi watawafurumusha

nakubaliana nawe 100%. miaka 3 ijayo afrika itakuwa tofauti kabisa
 
Mzee anaogopa kustaafu halafu akaanza kuadhirishwa na kesi zihusuzo madhambi yake akiwa utawalani. Kwake KUFIA MADARAKANI NI BEST OPTION....Labda wajekumshtaki Posthumously....Marehemu hana kesi jamani; mzee naye anajua hilo
 
Nadhani kinachomuweka au kilichomuweka mugabe hai mpaka sasa ni huo urais. Without urais angekuwa ana ashakufa iwe ni naturally au kimatatizo ya afya. Ndio maana anakuwa mbishi kuachia. Maisha matamu.

Yanii hiyo presdential emotion ndo inafanya japo blood circulation ifanye kazi.

Mzee hii kali.... nadhani kuna ka ukweli.
😛ound:
 
Mguu wake at close quarters....

rgm-swollen-ankle_ZKWJp_16744.jpg
 
GO ON BOB...... KUNA WENZAKO WALIWAACHIA VIJANA WASIO NA UCHUNGU NA NCHI ZAO LEO WATU WAO WANALIA.....! VIVA MUGABE....VIVA CASTROOOOO....! viva mtanzaniaa...!
 
mwacheni tu Mzee wa watu
kwani vijana nyie hamueleweki,mkipewa nchi mikataba feki kibao ili mpate 10% zenu,bora Babu alishawaeleza hakuna cha 10% wala mdogo wake 0% ,mtu Changiliai tunajuwa kuwa walowezi wakingereza ndio waliomweka pale ili mashamba yao yarudi,
Mugabe we kamuwa tu hadi kifo la sivyo nchi mpe mjeshi
 
Nadhani tumpeleke Loli kwa Babu, apate kikombe. Hali inaweza kuwa njema ghafla.
 
Hivi hao wanaoitwa ZANU PF hawachanganyi na za kwao?
Wana wasiwasi wasipomweka Mugabe kama mgombea basi watashindwa kwenye uchaguzi. Nadhani ni ZANU PF ndio wanaomsumkuma Mugabe kaburini, kwa maslahi yao wenyewe!
 
Mimi sio mgonjwa, na sio mzee - asema Mugabe!

I'm not ill, says Zimbabwe's Mugabe

mugabe.jpg

2011-05-19 13:51

President Robert Mugabe says Zimbabwe should have fresh elections this year, once the country holds a referendum to adopt a new constitution, a report says.
Harare - Zimbabwe's 87-year-old president scoffs at speculation over his health as "misplaced" and says he and his wife are fitness enthusiasts.

Mugabe on Thursday dismissed recent reports that his wife Grace, his former secretary who is half his age, was also ill.

President Robert Mugabe told the state media they were both in "sound health".

In excerpts of an interview published on Thursday by the state Herald newspaper, he said he exercised regularly and recently only had an eye cataract operation. He said his wife was undergoing physiotherapy for a dislocated hip which may have been made worse by exercise

Mugabe's quotes:

"It is not an ailment. It is a physical dislocation,"
He told the newspaper he did not use gym equipment but used common exercises he began in a colonial-era jail cell.

"I fall sick if I don't exercise. For now I am as good as my age says I must be," he said, adding that he also takes a calcium supplement to help strengthen his bones.

"I am not old. I am 87 but my body says the counting doesn't end at 87, at least you must get to 100," he told the newspaper.

-Source
 
nazani swala la kufia madarakani ndo wishes nyingi za marais wa hili bara

Sidhani kama ndo wishes za viongozi wengi wa Africa, labda tu kwa mtizamo wangu ni uoga walionao. kwani walio wengi hawaingii madarakani ili kusaidia nchi zao na wananchi bali waanaingia ili kujinufaisha wao familia zao, na wapampe wao. Hivyo inapofika swala la kung'atuka woga unawaingia kwani hawana uhakika na hatma ya mali walizoliibia taifa na wale wapambe wanazidi kumshinikiza abakie madarakani kwani kuwako kwake hapo ndo salama yao.

Mbona tunayo mifano mizuri tu ya kina Mandela na Nyerere, kwa vile hawakuwa na jambo la kuwasuta hawakusita kuachilia madaraka,uongozi na hatimaye wamekuwa watu wa kuheshimika maana wameacha historia yao (legacy).

Kwa hiyo viongozi wetu walio wengi wanaogopa kuachia madaraka kwa sababu ya mambo maovu mengi kuliko mazuri waliyo watendea wananchi walio waweka madarakani.
 
R.I.P for Mugabe will be the best thing to have happened in African soil...................
 
Health in Doubt, Mugabe, 87, Vows to Stay in Power
By CELIA W. DUGGER
Published: May 20, 2011
21zimbabwe-popup-v2.jpg Robert Mugabe, Zimbabwe's president, center, on Friday at a summit meeting of southern African leaders held in Namibia.

JOHANNESBURG - Some of his fellow autocrats may be struggling - with Hosni Mubarak detained in Egypt and Col. Muammar el-Qaddafi hiding from NATO air bombardments in Libya - but Robert Mugabe of Zimbabwe, another of Africa's longest-serving leaders, declared in an interview published Friday that he intended to run for president this year at the age of 87, and live to be 100.

"The doctors say that I am O.K., and some are surprised by my bone structure," Mr. Mugabe told an editor from the state-controlled news media. "They say they are the bones of someone who is 40. I suppose it's the exercise. I also take calcium every day."

Mr. Mugabe's pronouncements about his good health and plans to stay in power beyond the three decades he has already governed Zimbabwe come at a time of rising concern within his own party, ZANU-PF, and among senior governing party officials in neighboring South Africa about what would happen if he died in office.

-Source

NB: Wanaofikiria Mugabe ataachia ngazi mapema imekula kwao!
 
Nyie wenye Marais 'vijana' mna maendeleo gani kuishinda Zimbabwe?Muacheni Mugabe awatumie watu wake,waliomuamini na kumchagua
 
Back
Top Bottom