nawashangaa sana, hawa wanaojifanya wanamtangaza Kristu masiha, lakini hawafanani kabisa na Kristu, Yeye hakuwahi kumiliki gari wala punda, hakuwahi hata kuwa na nyumba, aliishi kimaskini kama walivyo wengi, alitembea kwa mguu Yudea hadi samaria, mara chache alipanda mashua, hakuwahi kujitajirisha kwa biashara haramu au halali. yeye alihubiri na kumtaja Mungu, hakujisifu kwenye majukwaa kwa idadi ya ndege, mashua, wala hakutaja farasi na magari...