Mugabe ana kichaa!!

NA NYIE MAMLUKI NAIVE WATUMWA WAKUBWA WA MKOLONI NA SHETANI MWENYEWE MMESHINDWA!
Sasa ni kuhakikisha wanaondoa VIKWAZO VYA KUUWA WATU WASIO NA HATIA!
 
Thibitisheni basi kuwa Sivyo Tulivyo.....

Sio SISI ni hao MBWA WANAOKULA VYAKULA VYETU NA VIZAZI VIJAVYO!
WE WEKA MATAKO YAKO CHINI BADALA YA KUFANYA KILE MUNGU ALICHOKUWEKA HAPA DUNIANI KUFANYA KABLA HUJAFA!
EBU ACHA VICHEFU CHEFU!
 
Sio SISI ni hao MBWA WANAOKULA VYAKULA VYETU NA VIZAZI VIJAVYO!
WE WEKA MATAKO YAKO CHINI BADALA YA KUFANYA KILE MUNGU ALICHOKUWEKA HAPA DUNIANI KUFANYA KABLA HUJAFA!
EBU ACHA VICHEFU CHEFU!

Hao "mbwa" mnawaweka wenyewe madarakani kwa hiyo hamna haki ya kulalamika.

Haya LiMugabe hilo tayari limeshaapishwa na kuapishwa na kesho litahudhuria kikao cha Umoja wa Afrika huko Misri. Sitoshangaa likipigiwa makofi ya pongezi kwa ushindi.

Halafu hivi mmeona jinsi matokeo ya raundi hii yalivyotangazwa haraka? Mmejiuliza ni kwa nini?
 

Mimi nilisha jiuliza hayo maswali miaka mingi mno iliyopita. Nikasoma ma volumes na ma volumes kuanzia ya White liberals, anthropologists, biological/evolutionary science, mpaka kina Adorf Hitler. Wewe arguments zako za Ndivyo Tulivyo ni nyanya kuliko za Adorf Hitler, na za Dr. Watson mwenyewe. Wewe ni cha mtoto, kuna arguments za nguvu zaidi za kutukana akili za Mwafrika ambazo wewe huzi advance. Lakini nipo hapa navumilia lugha na epithets zako ili tu kujaribu kuondoa upotoshaji kwa watu. Vinginevyo wewe huwa nakupuuzia.

Sayansi sio dini, haitakiwi kushawishi mtu. Yenyewe inatumia the scientific method. Inatumia utafiti. Hutaki, leta wakwako. Na haijalishi ni nani kafanya huo utafiti. Na mimi nina confidence ya kukubali Sayansi iliyo tafitiwa na mtu yeyote yule kwa sababu najua molecular genetics inasema nini kuhusu akili za binadamu. Inasema hakuna kitu kama "ndivyo tulivyo." Ungejua ukweli usingekuwa unatukana tukana ovyo watu wanao rekebisha hiyo idea. Ni complex unayokuumiza moyoni kwamba race yako ni inferior.
 

Kinachochekesha ni nyingi ktk hizo nchi ulizozibwabwaja hapo juu zinaisadia Afrika ktk misaada mbalimbali ikiwemo uchumi, ufundi, sayansi, masomo, kijeshi, na mengine mengi tu. So what's your point Miss Thang?
 

Juha Mkuu, nani kaanza kutumia lugha ya "matusi" kama unavyodai wewe? Si ni wewe uliyesema hujawahi kuona Mwafrika aki-ride on "cocktail" ya mzungu? Oooh hili sio tusi sio? Siumizwi na kitu chochote. Kwanza tangu lini umeanza kuwafanyia watu diagnosis mtandaoni kujua nini kinawaumiza? Mimi ninachoonyesha ni ukweli mtupu na ukweli ni ukweli tu hata auseme nani. Endelea kukataa tu lakini najua kuwa unajua kuwa uko kwenye "denial". Waafrika Ndivyo Tulivyo!! Kama unabisha rudi kijijini kwenu basi halafu tuone kama utaendelea kubishana kama unavyobisha hapa....
 

Hizo nchi pamoja na kupokea misaada lakini zao bado zinatoa misaada kwa Afrika. Swali, Afrika inatoa misaada kwa nani?
 
Nyani ni lazima kuwa kama unaamini kuna MUNGU..Halafu unakaa tu na kusema sisi ndivyo tulivyo...Then ukifa na akikuuliza umefanya nini utasema ni mimi jinsi nilivyo?
Wewe unasema sisi!
UKIFA NI WEWE!
WEWE NA MUNGU!
UTAJIBU NINI?
Kwamba ni mimi NYANI BOGASI?
Usikae tu...Do something.
Huo ni mjadala mwingine lakini sasa majukumu ni mengi.
You should have a PURPOSE DRIVEN LIFE...!
OR ELSE...UKAPATA HATA UONGOZI,THEN HUTATUUZA KWELI KAMA KIWETE NA MTUPU?
 
kwahiyo waafrika ndivyo tulivyo kwasababu tu hatutoi misaada?? hivi huoni kwamba points zako zipo weak sana........unayumbayumba tu kama mlevi wa gongo!! ovyo sana wewe saa nyingine. LOL.

Tunapewa misaada LAKINI NI PESA ZETU NA MADINI YETU YANAYOWAPA PESA ZA KURUDI NA KUTUPA CHAKULA BAADA YA NJAA WALIYOTUSABABISHIA WAO!
 

Ukiwa na complex huwezi kujijua.

Una conflict ya ndani. Moja inataka kuacha kuendelea ku ride on Dr. Watson's coattails nyingine haielewi science. Kwa hiyo unabaki njia panda. Unatembea na maswali kichwani, kila ukimwona Mzungu unajisikia mdogo, hupati majibu, unaendelea kuamini kwamba uko lesser than them. Inaakuuma, na bila kujijua una vent kwa kutukana Weusi wenzio kila unaposhindwa kuelewa kwa nini sio kweli kwamba Weusi ni inferior. Na kwasababu frustration zako zina ku haunt utakuta kila mara unachokonoa hiyo ishu hapa jamvini, ili kutafuta mtu atake kuelewesha. Na kila usipoelewa inazidi ku cement that negative self hate. Inakuuma na tena na tena. Na unazidi vent kwa epithets. It's such a hideous complex.

I tried to help.

Godspeed.
 

Duh!! Bonge la diagnosis hili....hebu noja nikachemshe kahawa ili nije nilisome vizuri.....
 

Gigo...Are still FREE?
OR NUTS?
 
Tunapewa misaada LAKINI NI PESA ZETU NA MADINI YETU YANAYOWAPA PESA ZA KURUDI NA KUTUPA CHAKULA BAADA YA NJAA WALIYOTUSABABISHIA WAO!

Mtu mwenye akili hawezi hata kidogo kumwachia mtu mwingine amsababishie njaa....upo hapo Mangi?
 
kwahiyo waafrika ndivyo tulivyo kwasababu tu hatutoi misaada?? hivi huoni kwamba points zako zipo weak sana........unayumbayumba tu kama mlevi wa gongo!! ovyo sana wewe saa nyingine. LOL.

Hey Miss Thang...chill out....okay?
 
huo ni ukweli, una kichaa wewe kama cha Mugabe au kama wale Juntas wa Burma.

grow up.

Mbona wewe na huyo Juha Mkuu mna hasira sana leo? Yaani mmeni-diagnose na ukichaa na inferiority complex.....sasa prescription ni nini? Mimi nadhani ni nyinyi ndio ukweli unawauma. Aliyesema ukweli unauma hakukosea hata kidogo..
 
Nyani...Hata mahesabu alikwambia kuhusu INFERIORITY COMPLEX!
Sasa kama hujatoa hiyo logo..ngoja nikuache na upande ambao bado hakuna aliyekwambia...SUPERIORITY COMPLEX!
 
Nyani...Hata mahesabu alikwambia kuhusu INFERIORITY COMPLEX!
Sasa kama hujatoa hiyo logo..ngoja nikuache na upande ambao bado hakuna aliyekwambia...SUPERIORITY COMPLEX!

Na wewe unaweza kuweka ya kwako inayosema "Hapana, Waafrika Sivyo Tulivyo"....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…